masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,792
- 16,756
Wewe masai dada umempata wapi huyu monjwa wangu?zieneiiii
Ni kweli ugonjwa wangu huo hauna dawa BAK​LoL!!!! Kwi kwi kwi ahsante sana Honey Faith, ugonjwa wa Dr MziziMkavu huu.
​LoL!!!! Kwi kwi kwi ahsante sana Honey Faith, ugonjwa wa Dr MziziMkavu huu.
Shem ndo nasogea uwanjano saivi
wewe unajua kabisa nipo single halafu unaniitia mambo kama haya
unategemea nini
siku nyingine uwahi kuniita
Shem ndo nasogea uwanjano saivi
Hakuna kitu huku mbona umekuja kama gari la faya??
Leo nisubirie kukubembeleza au leo unamfunga mtu?
Maskini nawaonea huruma maana najua lazima mtafungwa tu
Breaking news...... BAK mpe matokeo huyu binti wa man u......