Ni kutokana na Umuhimu wake katika maisha. Matharani Civics kwa O-level na GS -kwa A-level, haliwezi kuwa Somo la Option hata siku moja. Aidha Hesabu, Biolojia, Kiswahili, Haiwezekani yakawa ya Option.

Ukiacha siasa mimi kwangu masomo ambayo kwa sasa naona ni ya lazima (mpaka F4) ni hisibati na kingereza. Umuhimu wa hisibati nafikiri hauna mabishano makubwa hata kama wengi wetu huona ni somo gumu. Kingereza nakipa umuhimu kwa sababu ni lugha pana zaidi kimsamiati hasa kwenye utafutaji wa elimu ya aina yeyote (secondary, vyuo vya kati, vyuo vikuu). Mfano mdogo ni kama unataka kujiendeleza kwa elimu masafa na kingereza hakipandi huo utakuwa mwisho wako. Machapisho mengi yako katika lugha hii na biashara za kidunia pia. Hii haina maana kiswahili tusikikuze la hasha tukifanyie kazi hadi hapo kitapoweza kuchukua nafasi ya kingereza kama lugha ya kufundishia, lakini hilo halita ondoa umuhimu wa kingereza.