Mimi nimeshaoa. Nilioa kwa sababu enzi yetu,kijana akishafika umri wa kujitegemea, wazee wetu walikuwa wanatafuta binti mwenye maadili kutoka familia nzuri, na unaozeshwa.
Bahati nzuri kwetu ni kuwa, nyakati zetu vishawishi havikuwa vingi kama mnavyokumbana navyo vijana wa sasa. Na maadili tulikuwa nayo. Tumedumu ndoani kwa miaka 35 sasa.
Kumbukumbu zangu zinaniambia hauko sahihi. Umesahau kidogo miaka mkuu.
Yes you know how to spoil ladies,but she can only be the main chic not a concubine only that I can agree.....
Inawezekana pia. Si unajua uzee na kupoteza kumbukumbu si suala la kushangaza. Hebu nikumbusheKumbukumbu zangu zinaniambia hauko sahihi. Umesahau kidogo miaka mkuu.
Dooh nshakosa fursa miee kumbe ushaoaInawezekana pia. Si unajua uzee na kupoteza kumbukumbu si suala la kushangaza. Hebu nikumbushe
Haha. Kweli bana. Ulichelewa wapi sijuiDooh nshakosa fursa miee kumbe ushaoa
Haha. Kweli bana. Ulichelewa wapi sijui
Haha. Ungechukuwa hata boda boda tu uwahi.Hahahaaa naona kwenye foleni mkuu maana dah!!
Ok..Mr perfect is somewhere waiting...hopefully!Goodluck!Wanogeshaji ni wengi lakini bado sijapata urge ya ndoa,naelewa ni kitu muhimu sana kama nilivyosema hapo mwanzo....lakini kama hakuna upendo ni kazi bure