Why should I confess?

Why should I confess?

Kuna mtu anakutafuta huko pm
Amenifungia tatizo,. Na mods nao ndio kabisa hawataki niingie tena,. Na ile ya G9 mie nashindwa kwasabu umenipiga tofali😑
 
Attachments

  • Screenshot_20250124-195716_Chrome.jpg
    Screenshot_20250124-195716_Chrome.jpg
    94.8 KB · Views: 15
Thank you too...Ile inshu yetu vipi boss umenichinjia baharini
Mkuu Pm hazifunguki masikini,. Kila nikiingia nijaribu kuchukua namba lakini inaandika tu connecting,.
Au nikwambie tu hapahapa kama hutojali?,. Au nipe namba yako nicopy chap halafu ufute comment
 
Ikihusiana weka Like

"It is now the Official policy of the United states" - SH Trump
only two genders Identified.

Male and Female

Namie naweka yangu ya mutima
 
Natumai wote mu wazima wa afya,.

But why am writting this?,. Why should i do this?.. Sina majibu mpaka sasa wakati huu ninavyoandika.....

Wacha niandike tu bhana huwenda nikapunguza mzigo moyoni,. Mtanisamehe kwasabu ni ndefu kidogo😑😑

Ni kwamba najuta kuwa na cycle ya watu ambao niko nao sasa,. Nisipokuwa makini naweza kuangukia kwenye midomo ya mamba..

Tuanze sasa,. Ilikuwa ni 2022 mwishoni kama sikosei alikuja mdada ofisini kwetu,. Naweza kusema ni aina ya hii midada ya mjini wale ambao maisha wanayoishi na vibiashara wanavyofanya ni vitu viwili tofauti yaani type ya wale wadada naweza kusema ni wadangaji wa mjini waliokubuhu/shindikanaa kabisa ( wale wenye matatoo mara mableach, wengine wamejitoboa hadi kwenye vitovu wameweka vipini )...

Nilimhudumia vizuri sana ukizingatia na nlivyo charming sikuwa hata nimemchukulia tofauti kama wenzangu walivyomchukulia,. Basi wakati anatoka akaniomba namba nikampatia alivyofika kwenye gari yake nje akanitumia text nimfate mara moja nikatoka akaniambia nilitaka nikupatie pesa ya soda maana umenihudumia vizuri lakini isingekuwa vizuri kukupa mbele ya wenzio baasi nikachekacheka pale nikapokea nikarudi kuendelea na kazi..

Baada ya kama mwezi hivi akawa ameniletea na marafiki zake,. Na hao marafiki zake ndio walewale tu,. Ila tu kila mmoja alikuwa anakuja kwa nafasi yake na walichokua wanasisitiza ni kwamba nisije nikaropoka flani naye alikuja maana yule wa kwanza alinitambulisha tu kama nendeni sehemu flani kuna mdogo wangu yupo basii. Si unajua midada ya mjini kuvimbiana hakuna anayetaka aonekane kaishiwa mbele ya wenzie..

Kiukweli ni watu ambao sijui ndio walikua wananipenda au walikuwa wanapenda ninavyowahudumia,. Maana ilikuwa kama desturi tu wakija lazima waniachie hela za maji yaani mtu kukupa 50k kwakwe sio shida zake,. Ukiachana na hivyo utakuta hata kama mtu anapita maeneo ya ofsini atakupigia akuulize kama ulikula kama bado atakwambia njoo sehemu flani basi tule ukienda utarudi na mazaga kibao,. Atakutambulisha kwa wenzie na wenzake nao ndio walewale wananimwagia upendo kama wote baasi nikawa najiona ndugu si ndio hawa nimepata kumbee😓😓....

Waliendelea hivyo hivyo mpaka ikafika kipindi wote wakawa wananitreat kama mdogo wao yaani,. Kuna zile nyakati labda wamepost status wako China sijui Dubai wanasema wamefata mizigo ya biashara zao,. Mie nikireply tu naulizwa nikirudi nikuletee nini najibu chochote lakini wakirudi wanarudi na hiyo mipackage mpaka nasema hivi huu upendo mbona kama umepitiliza lakini nikawa najionea tu raha nasema kweli nimepata nduguu...

Ngoja kwanza ninywe chai nakuja🙌
Plan yao A imefanikiwa.
Sasa subiri usagwe.
 
Vipi mnaendeleaje!?.

Kesho tumepata dharura kidogo hatutoweza kuja huko
Pm hazifunguki masikini,. Kila nikiingia nijaribu kuchukua namba lakini inaandika tu connecting,.
Au nikwambie tu hapahapa kama hutojali?,. Au nipe namba yako nicopy chap halafu ufute comment
Yaani Bado hujatimiza Miaka 24!?. Ishu Yako inafanana na sister wangu, ameshafariki na kilichomuondoa ni marafiki kama hao.

Nikupe story yake fupi huenda ukapata somo.

Sister wangu alikuwa na marafiki zake kama hivyo ulivyohadithia , popote alipo wao wapo popote walipo yeye yupo, yaani ukawa ni udada wa kushibana na kusaidiana, nyumbani hakuna anaejua kma anamarafiki wa aina hii maana alikuwa haji nao nyumbani, sasa wakaanza kumdangia ( kumuuza) , wao wanapatana na bwana halafu wanamseti wao wanabeba kikubwa yeye anapata kidogo.

Kuna siku wale wadada wakanwambia Kuna mchongo south utatupatia pesa nyingi sanaa, sister kuskia pesa ndefu akajaa kwenye mfumo, ila akasema twendeni nikaage nyumbani, huku nyumbani mama halali ni Dua , Dua na yeye maana sister alipotea mwezi mzima hatujui wapi alipo. Akafanikiwa kuja , wakakakaa chumbani mama na bintie , mama anamwambia nimekuota umepelekwa south na wenzio wamekupasua tumbo wamekuwekea madawa ya kulevya umeletwa umekufa, dada anakiri ni kweli ninasafari ya south na hapa nimekuja kukuaga kesho safari, mama akamwambia ukienda hurudi mwanangu, sasa ntafanyaje!?. Mama akasema ntashughulika nao niachie mimi, akaenda sebleni akawaambia " Jamani nimefurahi kuwaona lakini naombeni mwenzenu mumuache kwa Leo nina maongezi nae ya kina, kesho atakuja", basi wakaondoka jpo kishingo upande. Sister akanusurika hpo ila kule kumdangia wazungu hakukumuacha salama akapata maradhi mazito akaenda.

Misaada Yao ndo Huwa nguvu Yao kubwa ya kukuvuta kwao, wanaweza kuwa na urafiki hata miaka 10 wanajua wanawekeza pesa zao wanazokupa zitarudi tu, sister kabla hayaaga anamwambia mama " mama kilichoniua ni marafiki wabaya, walikuwa wananiuza kwa wazungu bila mimi kujua😭😭😭".

Umefanya nimemkumbuka dada yangu Leo😭😭😭

Cha kufanya.....

Anza kutokupatikana.... Lee vipi Leo tutoke , hapana naumwa sijiskii vizuri, mara nyumbani nina kazi nyingi, usiishe sababu.

Usiagize zawadi kutoka kwao tena, wakizileta pokea hkuna namna.

Wakipiga simu siku pokea siku potezea, Sms ni hivyo hivyo, kwanini hujapokea simu jibu niliiweka silent au nilikuwa mbali nayo.

Anza kuwapotezea taratiibu mwisho wa siku nawao watajiongeza watajua hutaki mazoea nao.

Ila ukisema hawajanikosea, na roho nyingne unataka kuendelea kupokea misaada kutoka kwao , my dear mwisho hautokuwa Mzuri kwako , ni either wakupoteze mazima familia Yako ndo itabakia inahangaika na wao washakuwa mamilionea.

Ikiwezekana mshirikishe mama akusaidie kuondokana nao. Sister wangu aliponeshwa na mama, sijui angeenda nao siku ile kama tungewahi hata kumuona machoni tena. Na hivi wewe unalewa nao rahisi kuongea na muhudumu anafanya yake unalala umeisha.
 
It can’t be true Leejay49
 
Daah inatisha...
 
Dah,. ila nyie kuna watu wabaya sana aisee
Nimekupata vizuri mkuu
 
Ushauri ni mmoja tu,acha pombe kabisa,huwezi jua kuna siku utawekewa madawa ya kulevya.Na hapo watakuendesha watakavyo.
 
pole.
Kitu kipya kikija kwenye maisha yako, kama hukitaki kikatae mapema kabisa kwasababu ukiruhusu, hapo badae ni ama ufanane nacho, au uteseke kuachana nacho na mara nyingi mzani huelemea kwenye "kufanana nacho"

ni rahisi kuachana na hao lakini kama umeshaingia kwenye [cycle] watakuja watu wa aina hiyo hiyo mpaka pale utakapotengeneza [cycle] nyingine yenye
nguvu "zaidi"

Tafuta aina ya marafiki unaowataka na utengeneze [cycle] mpya.

Kwakuwa umeshapewa baadhi ya vitu kutoka kwao(Hilo ni deni kubwa sana japo watu wengi hawajui); mpira usiishie kwako. Angalia chochote hata kidogo sana (cha msingi kipokelewe) awape/umpe kisha
uanze kujitoa taratibu.

hiyo ni kwa ufupi sana, lakini hivyo ndivyo unavyopaswa kufanya.
 
😅😅 Dah sipati picha hiyo depression yake, kuna mmoja alinihadithia yeye ilikuwa hivi alinambia "usiwaone kina jack wanatamba na maduka sinza afu kila siku wapo Dubai sijui china kufata mzigo hamna lolote mie nilijichanganya nao si wakaniambia nitadanga hapa bongo mpaka nipate ukimwi na sio mtaji wa maana nifanye vitu vya maana kama wao wenyewe siku hizi wanadangia Dubai kama vipi siku moja niende nao uzuri passport nilikuwa nayo, wakanambia kabla kwenda huko lazima nipime kabisa magonjwa yote ili wawatumie watu wao huko Dubai kuthibitisha sina ugonjwa wowote basi nikafanya hivyo wakanambia kuna mambo ya ajabu huko cha muhimu uwe na kifua tuu, mie nikajua labda cha ajabu kuliwa tigo maana kama tunavyosikia waarabu wanapenda tigo kumbe mambo si kama nilivyodhani, picha linaanza tumefika Dubai kwenye hotel nzuri tuu bata la maana wakasema tunakaa hapa mpaka ijumaa tunaenda kwenye yatch party kwa siku tatu na shopping tutafanya tukitoka huko sasa tukiwa hotel hapo nikaambiwa lete account yako ya Bank uweke pesa nusu kabisa nyingine utamaliziwa tukitoka huko kwenye party basi sikuamini macho yangu kwenye account nikawekewa mill 30 nilifurahi sana nikaambia kina jack najuta sijui kwanini hamkunipa hii connection toka kitambo tukafurahi pale basi ijumaa ikawadia tukaenda kupanda hiyo boat tunakutana na waarabu watatu tena vijana wadogo kweli tukaanza kunywa pale cheza mziki wee wa kuvuta bangi wakavuta wa unga wakavuta mie nikagoma baadae muhudumu wa boat anatumbia kila mtu aingie room yake akae asubiri kuingia ile room nakuta imetandikwa makaratasi ya nailoni kila kona mpaka kitandani basi akaja mwarabu pale tukafanya kama dakika tano tuu akawa kamaliza zile shawaha akanimwagia mwilini nikata kufuta akasema kwa ukali sifute basi akatoka nje then akarudi akaanza kunikojolea mkojo huu wa kawaida acha niwe mkali basi yule muhudumu akaja kuniuliza kwani we mgeni wa hizi party basi vumilia bila hivyo hupati pesa yako yote, sijakaa sawa yule mwarabu karudi room kanambia lalia mgongo nikajua anataka kufanya tena naona mtu anachuchuma kwenye kifua changu anaanza kunya aisee nilimpush huko nikaanza kutapika kwa kasi ya ajabu basi nilitupiwa mitusi pale na kipigo nikaambiwa na hela iliyobaki sipewi, kina Jack sasa wakanambia wewe si ulikataaa kuvuta ata bangi unafiriki hela zinapatikana kirahisi rahisi eeh" 😂 kama kuna typo utanisamehe 😅
Aisee hatarii sana sana sana
 
Back
Top Bottom