Why selective prosecution, Mr President?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,241
Mh Rais, wafanyakazi kama 19,000 or so wameachishwa/kuacha wenyewe kwa ajili ya vyeti vya kugushi.
Makonda anatuhumiwa kughushi vyeti na "ushahidi" uko wazi bila mashaka. Mtendee haki kama haki uliyowatendea wengine wenye tuhuma hizo.
WHY SELECTIVE PROSECUTION?.....Selective Prosecution
 
Selective justice inaondoa uhalali wa Mheshimiwa Rais kwenye mambo mengi. Jambo hili la Makonda litaibua mambo mazimo ikiwamo tuhuma za ukabila katika ugawaji madaraka, tuhuma za udini na namna haki inavyotendeka. Ishu kama LUGUMI zilivyoshughulikiwa bado ni kitendawili kikubwa. Hayo yakiendelea watu kama akina KITILYA wanasota gerezani , jiulize kwa nini? majibu yapo.
 
Kuna walanchi na wananchi wavuja jasho,damu na machozi ili walanchi waishi kama peponi!!

Na hii ninjia ya kufanya watu tushangilie uteuzi mpya na kusahau kudai mhalifu kuchukuliwa hatua za kisheria!!
 
Back
Top Bottom