Mnyamahodzo
JF-Expert Member
- May 23, 2008
- 1,932
- 985
Natumia simu ya NOKIA C1. Napotafuta jina kwenye contacts list, napata message "Operation failed". Hivyo hakuna namba ninayowezapiga toka kwenye contacts. Mtu akinipigia inatokeza namba tu.
Nimejaribu kuzima na kuwasha, tatizo liko palepale. Nimejaribu kuzima, kisha kutoa betri na sim card. Hata hivyo sijafanikiwa. Nimebadirisha sim card, tatizo halijaondoka.
Tatizo hili lipo kutwa nzima ya leo.
Naomba msaada nini nifanye.