Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Hamia burundi kama unaona yamekushinda😁mjadala wa hali ngumu ya maisha na mafuta hauwezi kubadilishwa na hayo matukio ,raia sasa wanajionea wenyewe jinsi majibu ya kifedhuli yanavyotolewa kwa vitu serious kabisa, waziri anajibu kwamba sisi hatuchimbi mafuta WTF?
Corticopontine, Nigrastarata, Nebukadneza Ccm mbere kwa mbereeee!!!!!1. Sabaya kuwa huru..
Why now why now
2. Kesi ya Mwijaku kufufuliwa
Why now why now
3. Wimbo wa Diamond kufungiwa
Why now why now
4.Ubadhilifu wa Bilion kadhaa , Mkurugenzi kaamishwa miezi...Ati Leo imeibuliwa..
Why now why now
5. Ufisadi MSD
Why now...
MAJIBU..
1. Ruby zetu zilifikaje Dubai?
2. Billions za Royo tua.
Hello Piraaaa...
Me too.
...1. Sabaya kuwa huru..
Why now why now
2. Kesi ya Mwijaku kufufuliwa
Why now why now
3. Wimbo wa Diamond kufungiwa
Why now why now
4.Ubadhilifu wa Bilion kadhaa , Mkurugenzi kaamishwa miezi...Ati Leo imeibuliwa..
Why now why now
5. Ufisadi MSD
Why now...
MAJIBU..
1. Ruby zetu zilifikaje Dubai?
2. Billions za Royo tua.
Hello Piraaaa...
Me too.