Kwani katokea nyumba gani? wazazi/walezi hawakumuona? Labda nao hawaelewi maana, je majirani? Anakopita njiani mbona watu wanamuacha tu?! Hata polisi pia hawamuoni?! Nilikuwa ninadhani maandishi yasiyo na heshima ni marufuku!?Kila mtu na lwake?! Kama hivyo ndivyo hastahili lawama pekee, sisi sote kama jamii tunastahili lawama-kwa maadili yetu (kwa at least machache yaliyobaki) hastahili kuvaa hivi