Why Mwali broke up with Ivuga

Mwali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
7,012
Reaction score
5,613
Sasa naona ni wakati wangu kutoa tamko on what happened
And what is the way forward... Yote yamebebwa na video hii:


PS (of course all this is just chit chat, if it was real tungepeleka thread MMU)
 
Last edited by a moderator:
Mwali wewe hauhusiki kwenye ile thread ..from the bottom of my heart
 
Last edited by a moderator:
mwali hukuelewa kitu kimoja ..nimekuaj na ile thread kule na nimeiweka chit chat kumaanisha kuwa sio issue serious na wala inaweza isiwe kweli ingekuwa ni real things which happening /happened ningeoma ushauri kwenye jukwaa la MMU . dont take it too serious..ile thred kule haikuhusu wala haihusiani na mwana JF yoyote hapa
 
Mwali sema, semaaaa usiogope sema,
sisi chit chaters hatuogopi na umbea sema.
 
A dedication to Mwali and Saint Ivuga. Kila mmoja azingatie ujumbe kwenye huu wimbo... Saint Ivuga ujumbe niliotumwa toka kwa ankal ni kwamba kanunua shortgun.

Huu wimbo mahala ambapo panawahusu ni hapa.....

But I know I just gotta let it go
I should'a known
I gotta learn to say goodbye now
I throw my armour down
And leave the battleground
For the final time now
I know I'm running from a warzone





 
Last edited by a moderator:
Mmmmmm......nyie kweli mnapendana tena kwa dhati. Malizenu tofauti zenu.
 
we mwache mwali ajitutumue kumuacha Saint Ivuga ashuhudie...., kuna mapapa midomo waz, kaz yao ataijua bdae. We ukisema wa nin, mwenzio anasema.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…