Tarehe 14th February 2009, 03:57 PM Mama 5J's chini ya kichwa cha habari;
Re: Prof Sospeter M. Muhongo - A suitable candidate for the position of DG of UNESCO
uliandika:
"Huyu ana nafasi kubwa but he has done nothing 4 his country!
i do not support this MZEE kwenye hii post!"
Sasa leo unasema;
"...ana ukabila sana
bora huko UNESCO angefaa ila upepo haujamwendea fresh.
Mama unaonekana huna ground za kumshutumu Prof. Muhongo, vinginevyo mwaga hapa upupu utuonyeshe ambavyo ametumia ukabila katika huduma zake hapa nchini na hata huko alipo sasa. Vinginevyo kama humfahamu vizuri tembelea hata hiyo tovuti ya icsu (
Africa) uone kazi zake na anavyochapa kazi na Secretarieti ya watu gani.
Unasema has done nothing 4 his country wakati ni mwaka jana tu kiongozi huyu alipewa Tuzo ya juu ya Taifa toka COSTECH kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania!
Tafadhali , hapa ni mahala pa watu kueleza yaliyo ya kweli na kuchambua mada kwa haki bila kutunga mambo na au kuonyesha tu chuki binafsi ambazo hazitusaidii hapa wala Taifa letu.