Why me?

inaonyesha bado unampenda kwa moyo wako mkuu pamoja na kukutesa kote!!-mambo ya mapenzi mshauri wa kwanza ni wewe mwenyewe lakini fuata akili yako inasema nini na sio moyo wako
 
....we mpe mpe mpe mihela wala USIOMBE papuchiii.....mpeeee...utajifunza mengi, UKARIMU hauna fomula
 

mmmh una moyo mara mbil umetoa msaad mmh!! hongera
 

dont you get tired of re-reading the same story again..it will have the same end...you should know some people in life come in season to teach us somthing,have you not learn your lesson...be incharge of your life and let her not controll you...stop being her prisoner and show her this tym things have completely changed and she is not worth it
 
kama unazo msaidie tu..............

may be katafuta sehem apate msaada kakosa ndio maana kakutafuta wewe........

you will loose nothing by helping her.......
 

ushauri wako na mambo unayofanya tofauti...
 
do your life usijejutia tena nimemsaidia ananidharau tena kumbuka ni yule yule ajabadilika ila huwa anabadilishwa na mazingira. i
 
Mpe kavu za uso kuwa hutaki mawasiliano nae PERIOD!!Watu kama hao sio wa kuwaonea huruma na jinsi unavyomuignore anakuona sitaki nataka!!!
 
inaonyesha bado unampenda kwa moyo wako mkuu pamoja na kukutesa kote!!-mambo ya mapenzi mshauri wa kwanza ni wewe mwenyewe lakini fuata akili yako inasema nini na sio moyo wako
Kweli kabisa mkuu ukiuendekeza moyo utakufa na maumivu maana mhhhh...hebu nisiseme sana..Fuata akili yako sokwe
 
Last edited by a moderator:
Umegundua binamutz.
 
kama unazo msaidie tu..............

may be katafuta sehem apate msaada kakosa ndio maana kakutafuta wewe........

you will loose nothing by helping her.......

Nakuhakikishia mahari haitarudi kwa kosa la wewe kuendekeza x-wako na ukoo utatafuta mwingine!!!!!!

Dare you!!!!
 
Asante sis brenda18.
 
Lakini ngumu sana @ heaven on earth naona Kama ananiona ---- Fulani, moyo mzito sana.
 

Aisee, ndugu yangu ulikosea sana kumsomesha mtu ambaye hujazaa nae huku ukiwa na tegemeo la kumuoa! mimi naweza kumsomesha mtu ambaye sina mpango naye wa kuoana tu!, ila kama ni mpango wa kuoana basi shariti tuzae kwanza ili ukiniacha mwanangu kuna cha kurithi ataambulia toka kwa mama yake sina hakika kama atatukataa wote mimi na mwanangu!
wadada tunashindwa kuwasaidia kwa kuogopa stress baadae, unaweza kufa hivi hivi kumsomesha mchumba, na ni wengi wanalia japo wachache sana hufikia marengo
Ushauri wangu Temana naye kabisa hata sms zake usijibu, kakutafuta baada ya kufuatilia na kujua siku hizi mambo yako safi na anajua unampenda sana hivyo akisema tu kaka yangu unalegea! aisee tuko smart kwa nini wewe? usituangushe! usimpe hata salaam!
 
Nilitokea kumpenda kitambo not anymore, kumsaidia kwangu ilitokana na kumuonea huruma Hana wazazi na sister yake waliokuwa wana share baba alikuwa anamfanyisha kazi za nyumbani Kama punda, na alikuwa anaonyesha Ana uwezo wa kusoma. Wakati mwingine nasema angelelewa na wazazi wake pengine asingekuwa na hii tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…