HAHAHA 😀Huwezi kumpata Mwanaume mwwnye Sifa zote hizo kwa pamoja..
Labda Umuumbe mwenywe Vinginevyo Kama Katibu wa Baraza La Kukomesha Wanaochunguza Sifa za Wanaume (BAKUWASIWA) Nitakuchululia Hatua kwa KUTAJA VIUMBE VISIVYO HAI
JF🤣🤣🤣kwahiy amlete wake dunianiMzae
Uongoo ninazo sifa zote kasoro gariMungu anakupa wa kufanana na wewe, wewe mwenyewe hauko hivyo unataka upewe wa namna hautajua thamani yake
Kila la kheri.
😂 katibu komesha hili suala wamevuka mipakaHuwezi kumpata Mwanaume mwwnye Sifa zote hizo kwa pamoja..
Labda Umuumbe mwenywe Vinginevyo Kama Katibu wa Baraza La Kukomesha Wanaochunguza Sifa za Wanaume (BAKUWASIWA) Nitakuchululia Hatua kwa KUTAJA VIUMBE VISIVYO HAI😀😀
Kwa hizo negative ideas unataka umpeleke wapi Mzee wa ma positive ideas5. Awe anakupa positive ideas .
Ila humu hakunaga aiseeKila la kheri.
Allah amjaalie apate amtakaye
EEh tena ili nionekane na watongozaBasi njoo PM...
Halafukama uko serious njoo tuyajenge mrembo 😎View attachment 3331222
Ungekuwa nazo ungempata anayefanana na weweUongoo ninazo sifa zote kasoro gari
Njoo PM, ndoto zako zitimie...EEh tena ili nionekane na watongoza
Licha ya wewe hata mimi tu hajanijaribu ila anaishia kulalama tuDuh aisee!
Umenijaribu mimi mkuu?
ufurahie lifeHalafu