PseudoDar186
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 104
- 241
- Thread starter
-
- #21
Unafahamu namna ambavyo tafiti huwa zinapikwa?
Matokeo mengi ya rafiti za mashirika binafsi hupikwa na taasisi inayofanya utafiti. Lengo kuu ni kuleta athari fulani kwa jamii na uelekeo fulani ili kufanikisha malengo ya taasisi husika na mabeberu(wafadhili wake). Lobbying!
Twaweza wanafadhiliwa, hivyo lazima walambe miguu ya mabeberu(wafadhili wao), ambao ni maadui wa dola ya Tanzania, ili kuwafurahisha.
Twaweza huwa wanafanya tafiti nyingi Sana za kijamiii ambazo mwisho wa siku wanasema ni matokeo ya watanzania.labda nikuulize umeshawahi kukutana nao hata Mara moja wakakuhoji maswali yao?Sijawahesabu. Ila soma report ya Twaweza. Asilimia ya watu wanaomkubali ilishuka kutoka 90% mpaka 50%.
Mimi namkubali Rais Magufuli.
Unadanganywa na idadi ndogo iliyomtandaoni hapa. Mamia kwa maelfu ya wananchi wanamkubali na kumuunga mkono Rais.
Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.
Wenye akili wamenielewa.Wacha kumdhalilisha mwalimu wako wa English we pimbi
Kwa hiyo twaweza waliposema Magufuli anapenda kwa 90% ilikuwa sawa. Ila iliposhuka hadi 50% wakawa wanafadhiliwa na mabeberu?Unafahamu namna ambavyo tafiti huwa zinapikwa?
Matokeo mengi ya rafiti za mashirika binafsi hupikwa na taasisi inayofanya utafiti. Lengo kuu ni kuleta athari fulani kwa jamii na uelekeo fulani ili kufanikisha malengo ya taasisi husika na mabeberu(wafadhili wake). Lobbying!
Twaweza wanafadhiliwa, hivyo lazima walambe miguu ya mabeberu(wafadhili wao), ambao ni maadui wa dola ya Tanzania, ili kuwafurahisha.
IrekebisheAndika kwa Kiswahili tu jamaa yangu...
It is highly likely that you are ''Gabachori''.Thanks buddy. I was hoping you’d respond to the issues raised and not launch an ad hominem attack on me.
We are told not to argue with a person like you
Magufuli hapendwi na 85% ya Watanzania, wewe upo Kwenye kundi la mambumbumbu wachache wanaompenda, umeshindwa kujenga hoja ya msingi kumjibu mtoa mada unakimbilia kusema anapendwa tu, apendwe kwa lipi huyoMimi namkubali Rais Magufuli.
Unadanganywa na idadi ndogo iliyomtandaoni hapa. Mamia kwa maelfu ya wananchi wanamkubali na kumuunga mkono Rais.
Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.
Asante.Mimi namkubali Rais Magufuli.
Unadanganywa na idadi ndogo iliyomtandaoni hapa. Mamia kwa maelfu ya wananchi wanamkubali na kumuunga mkono Rais.
Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.
Nimeishia kucheka niongeze siku za kuishi. Hii lugha ya malkia bwana!!!!😀Wacha kumdhalilisha mwalimu wako wa English we pimbi
Umetumia kigezo kipi kusema hapendwi? Hisia zako au jf? Kafanye utafiti mitaani.Magufuli hapendwi na 85% ya Watanzania, wewe upo Kwenye kundi la mambumbumbu wachache wanaompenda, umeshindwa kujenga hoja ya msingi kumjibu mtoa mada unakimbilia kusema anapendwa tu, apendwe kwa lipi huyo
Let us Be Analytics!Sijawahesabu. Ila soma report ya Twaweza. Asilimia ya watu wanaomkubali ilishuka kutoka 90% mpaka 50%.
I think, from the contents of your argument, my discernment capacity dictates that, the same charges towards someone's person, the person of the president. It is grounded on nothing but what I too should have no other nomenclature but "argumentum ad hominem" ab initio.Thanks buddy. I was hoping you’d respond to the issues raised and not launch an ad hominem attack on me.
Rudia tena kusoma kama nimesema "ilikuwa sawa"Kwa hiyo twaweza waliposema Magufuli anapenda kwa 90% ilikuwa sawa. Ila iliposhuka hadi 50% wakawa wanafadhiliwa na mabeberu?
Mkuu Kiingereza hukiwezi, nikushauri tu kwamba nenda ukapige japo kwa miezi mitatu kwa RAS SIMBA! Did na counted haziwezi kwenda pamoja!How did you counted them?