Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

Status
Not open for further replies.
Screenshot_2017-10-23-17-45-06.png
Screenshot_2017-10-23-17-45-18.png
Screenshot_2017-10-23-17-45-29.png
Screenshot_2017-10-23-17-46-00.png
 
Always slaloming from one quagmire to another at an alarming pace
Na wewe jaribu kuandika kiingereza bila kutumia vocabulary kubwakubwa. It is unnecessary! Aim yako hiwe ni kuelewasha na kueleweka siyo kutuonyesha uwezo wa kutumia kiingereza. Showing off ndiyo tatizo la wakina Rutashubanyuma!
 
Ni kweli kwamba hatambui kazi iliyofanywa na Bunge la Katiba? Ni kweli kwamba Bw. Nyalandu hatambui hatua za mchakato wa uandaaji wa Katiba? Ni kweli kwamba Bunge la Katiba ni la kuweka mhuri (rubber stamp) rasimu ya katiba inayokuwa imewasilishwa kwake?
Nyakati zingine muwe mnaacha utani au gia za kujikweza!
Legitimacy of the process in serious doubt
 
Legitimacy of the process in serious doubt
It is legitimacy of the doubt that requires us to go back to the language of law! - Kuunda TUME YA KUKUSANYA MAONI NA KUANDIKA RASIMU YA KATIBA halafu kuunda BUNGE LA KATIBA kwa ajili ya kujadili RASIMU YA KATIBA na kuandika KATIBA PENDEKEZWA halafu wapiga kura (registered voters) kupigia kura KATIBA PENDEKEZWA.
What we should WANT (not request nor pray) the government to do is; to accomplish the legitimate process and not otherwise!
Digest and cheers!
 
Constitutional reengineering has been hijacked by elitists so NOT YET UHURU!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom