Why ladies 'dislike' to each other

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,805
173
Wadau,
Naomba tuelimishane au kukumbushana juu ya wanawake, ya kwamba:-
  1. Kwa nini wanawake hawapendani
  2. Kwa nini wanawake wanadharauliana sana
  3. Kwa nini wanawake wanapohitaji huduma huwa hawapendezwi kuhudumiwa na wanawake wenzao
  4. Waongeleapo 'haki sawa' na wanaume,, je iwaje hakuna upendo baina yao hata awe na rank kiasi gani
  5. Je itokeapo mwanamke awe ndio jemedari mkuu wa nchi yetu,, hapo itakaaje kwa akina mama wenzao
Naomba kuwasilisha na tuelimishane maana wengine yatutatiza kiuelewa, watu wa GENDER tujuzeni kulikoni???
 
Mpevu,

Hii topic haifai kuwa ktk jukwaa la siasa hamishia jukwaa stahiki mathalani "hoja mchanganyiko"
 
Mods .... hili ni jukwaa la siasa.... redirect this post to community forums please

sorry mkuu
 
Wanawake ni wanadamu hivyo wanahitilafiana kama wanaume kwani fitina na hila wanazofanyiana wanaume kwenye biashara manji na mengi , kwenye siasa lowasa na sita hao nao ni wanawake?
 
Mpevu,

Hii topic haifai kuwa ktk jukwaa la siasa hamishia jukwaa stahiki mathalani "hoja mchanganyiko"

sorry guys,
Nilikuwa jukwaa la siasa na nika-post ndivyosivyo.

sorry for the inconveniences caused by me (mpevu) to all readers wa JUKWAA LA SIASA.
 
sorry guys,
Nilikuwa jukwaa la siasa na nika-post ndivyosivyo.

sorry for the inconveniences caused by me (mpevu) to all readers wa JUKWAA LA SIASA.

i like you.... a piece of a gentlemen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom