Why is sex so powerful?

Hisia ndiyo kitu pekee kinamfanya binadamu awez kuwa binadamu mbele ya sheria hisia inangvu..,hisia ndiyo inatufanya tupende na hisia inahusisha upendo na huo upendo umeupokea toka ulipozaliwa nazan umenipata
 
Wewe ndiye unaona sex is powerful. Wengine tunaona ni kitendo kama matendo mengine tu[emoji3]
 
Pata mali yote ya dunia ila kama jogoo haliwiki ni bure. Utaachaje photocopy ya kuendeleza mali zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…