kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,469
- 23,051
sahihiHakika ni hatari mkuu
Kuna Jamaa wanakula Bata Sana hata hiyo ngono hawaikumbuki Kama hipo au haipo ukiwa hauna Maisha sex inakaa Sana kichwani
Kibubu kikiwa empty huwezi kuwa na hilo wazo.Nakazia hoja! Soon kibubu kinaweza basti [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweliii??kawaulize nguruwe jike ,kwann akiwa joto na ikatokea hakuna dume anauwezo kubomboa Banda hata liwe la chuma
Kwenda kutafuta dume popote lilipo
acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweliii??
LOVE IS OVERRATED, THOUGH SEX IS THE REAL THING! πSex is overrated,ila mapenzi sawa,.hizo nyimbo ulizosema,vitabu,movies 95% vinahusu LOVE na sio tendo la ngono..i got love for you bro,no homo
Jiulize kwanza bila sex je ungezaliwa...!?Wakuu natumai hamjambo?
Twende kwenye mada.
Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza kwann sex iko so powerful. Everythng seems to revolve around sex, music praises sex, movies, books, hata mada nyng hapa na kwenye forums nyngne sex imetamalaki.
Mpaka inaonekana kuwa sex ndo sole purpose ya mwanadamu. Usipokuwa mtu wa sex watu watakushangaa..
Je ni kwa nini sex iko powerful namna hii?
Kazi haihusiani na nyege mkuu.Mara nyingi Kama hauna kazi za kukuweka busy unauwezo wa kuwaza ngono na kuhisi ngono ni kitu chenye nguvu , ukiwa busy unapata pesa Sana hiyo ngono haiwezi ku-work out kwa Akili yako
Ni kweli kabisa kama uko bize na unaona pesa unaingia huwezi wazia ngono labda kama huna shughuli utawaza nani nikatetemeke nayeMara nyingi Kama hauna kazi za kukuweka busy unauwezo wa kuwaza ngono na kuhisi ngono ni kitu chenye nguvu , ukiwa busy unapata pesa Sana hiyo ngono haiwezi ku-work out kwa Akili yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa
NakaziaaaaaaaSex is sooooo goooood