Who said everybody loves Diamond an artiste whose only inspiration is love when music is all about poetry and I was forgetting with Rabbit their is no African who matches him in musical poetry
Sasa ndugu yangu kuna kipi ulichoongezea katika maneno yangu, au kwakuwa umeandika maneneo mengi kuliko mimi, pitia maneno yangu na upitie maneno yako utaona kabisa ulichosema teyari kipo ndani ya maneno yangu, na hii inatokana na kudhani kila anaechangia hapa basi yupo team flani, hapana me sio mbongo flavour km wewe, na nilichoandika hapo sio siasa bali ni udadavuzi wa maono yangu. Umetolea mfano mzr wa ronaldo na mayweather ndio maana nikasema kuna tofauti ya kupata wapenzi wengi kutokana na mafanikio yako au kupendwa tu naturally, mfano silva wa man city. So msikalili jamani kila mtu anamchukia Diamond mbona hivo. Mimi ni team tamaduni music so hapa nipo kwakuwa mada inahusu mziki ila haijabagua. SONGA,NIKI MBISHI,P THE MC,ONE, NASHI MC na wengineneo hao ndio team yangu. So kukaa kimya napo n jibu sio razima uongee tu.
unaonaje ukiandika kiswahili ?
I was forgetting with Rabbit their is no African who matches him in musical poetry
Kupendwa naturally ndo nini, kwani Alikiba imetokea tu akapendwa au kazi zake ndo zimemfanya apendwe?
Haaaaaa kiingereza kilikuja kwa meli atii
noma sana, yaan hata mi nisiyejua ngeli naona kabisa jamaa anazingua
Akili zako, ongeza na maneno yangu then utapata jibu, sio razima tukeshe hapa kwa kujadili kitu ambacho hakitupi any gain, kwa jinsi ulivyouliza ni wazi kuwa umenielewa ila unataka tu kubishana kitoto. Sasa bahati mbaya mimi sio kijana kama ulivyokuwa umeniita mwanzoni, vivo hivo sijui km naww ni kijana ama upo km mimi, so sio mbaya tukiishia hapa kwa kuoesha wewe ni gentleman.
Haaaaa mie imebidi niishie njiani
Ndoto za mchana kweupee. Huoni hata aibu?Ninajua zaidi yako binafsi,...
Sorry, huwezi kuwa mzee na ukashabikia Tamaduni Muziq, ni lazima utakuwa kijana tena unayetumia cha Arusha
By the way Diamond huwa very rogue, magazeti ya Bongo huwa yanaangazia sana vituko vyake ambavyo huwaacha Wabongo vinywa wazi. Hawajazoea mtu mwenye uhuru wa kufanya yake na kwa vurugu kama za Diamond, wamezoea akina Ali Kiba. Jamaa kwa strategy na mikakati hajambo na kwa kweli ukanda huu wa Afrika tushamkubali, haswa Kenya.
Jamaa alishawahi ulizwa wapi anapenda sana kufanya show akasema Mombasa, hiyo ni kwa ajili Wakenya tunamwelewa kwenye hizo vurugu na hatuna muda na "ustaraabu". Halafu kuna sehemu kwenye Facebook niliona Wabongo wakidai kwamba yeye ni Mburundi, yaani kila akifanya kero wanamkana, akishinda tuzo wanampokea.
Nikweli sio mzee ila ni tofauti na kijana, na kuhusu cha Arusha mbona spika wa bunge anajua ipi kali na ipi sio kali...! Sasa sembuse mimi ninaeiona imeota kwenye shamba langu la mtama.
Sorry, huwezi kuwa mzee na ukashabikia Tamaduni Muziq, ni lazima utakuwa kijana tena unayetumia cha Arusha
hahahah ulipo taja tu tamaduni music nikamkumbuka jamaa mmoja hivi wa kuitwa nash MC.yule jamaa kila jambo hata liwe jema vipi,yeye hulichukulia kiitikadi za ki-hiphop.
yaani nash ni shida yule mtu.kuna nick mbishi naye.:becky:Anajiita 'Korea Kaskazini', jamaa bwana, ukimbishia kitu hakawii kukuita shoga
yaani nash ni shida yule mtu.kuna nick mbishi naye.:becky:
Kuna mmoja tayari juzi juzi hapa alijianika mtandaoni eti anataka kufanya projekti na Diamond. Sijui alifikia wapi.
sisi tumeshazoea drama na show off, akija huku atakua hivyo vituko vyake havishangazi yoyoteAkitoka kwa zari anakuja kenya. Andaeni mrembo wa kujazwa mimba.