Why hii kitu inaendelea sana

Ngoja nimkaribishe wife kafika nahama na meza then ntakuja, i was bored enough kuwa huyu mgeni mvamizi so nikaona niwakileshae JF walau wadau ambao ni familia yangu wawe wanafahamu nina hali gani.

Ukihitaji format ya talaka we niPm tu ntakupa link.....najua baada ya hapo ndoa yako itakuwa past tense...
 
Ukihitaji format ya talaka we niPm tu ntakupa link.....najua baada ya hapo ndoa yako itakuwa past tense...


Sijataka hii ndoa yangu ife ni tamu mno kuipoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…