mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,179
- Thread starter
- #21
ilibinaadamu yeyote athibitishe ubora wake kwa chochote anatakiwa akabiliane na changamoto tofauti tofauti.siokila mtu atakae toa ushauri kama huu anamchukia messi ubora hupimwa kwa mitihani tofauti kaka.ronaldinho alitamba sana barca alipokwenda italy amefanya nini au huko alipo anafanya nini,msikwepe ukweli kwa kuwapakazia watu wivu kwa upenzi uliopitiliza.messi anatisha lakini angekazia kidogo uthibitisho ndivyo soka ya kileo inavyopimwa,nani asiyejua ligi ya hispania ni ya kike siku hizi ligi ya timu mbili kama ya mbuzi
bora wewe umeelewa point yangu