Why has Messi signed a new deal at barcelona?

Why has Messi signed a new deal at barcelona?

Hii ni article kutoka kwenye newspaper uk...ni opinion ya mtu lakini kuna watu humu watasema ni wivu kwa messi..

MAGNIFICENT MESSI HAS BOTTLED OUT OF BIG TEST
​
Never thought I'd say it but I'm disappointed in Lionel Messi. The best player on the planet, arguably the best player of all time, I'd happily pay a small fortune to watch him play.
But why sign again at Barcelona?
Messi has won everything at Barcelona, there's nothing left to do there. So why not come to the Premier League so we can find out if he can do it out of his comfort zone?

article-2250984-1695322A000005DC-748_634x483.jpg
Avoiding England: Lionel Messi beats Gorka Iraizoz of Athletic Bilbao to put Barca 2-0 up at the Nou Camp

His new contract takes him beyond the age of 30 so we will never see Messi at his peak playing anywhere else but Barcelona.
Scoring and winning has become easy at Barcelona for Messi. I wish he had accepted the challenge of signing for an English side. Is he scared of Stoke?
Lionel Messi – bottler.

​
 
anaogopa challenges huyo....hata kama barca wamemtoa mbali ilibidi naye atoke akachezee ligi zingine ili authibitishe ubora wake kama watu wanavyosema.
ila messi bora kwa kufunga magori ya penalty.

His only challenge is to score goals which he is doing in style. He has nothing to prove to anyone because he has never said he is the best bali nyie mashabiki ndio mnasema kuwa yeye ni the best. Wale ambao hawajiamni kuwa ni bora (CR7, Ibra etc) ndio wanatangatanga wakijaribu kujihakikishia kuwa wao ni bora.

Hizi media za England zinawajaza watu u%$*a. They once said that Rooney is the best striker in the world, je amecheza league ngapi? wakasema Terry and Rio are the best Centre backs in the world, je wamewahi ku prove skills zao nje ya England? What about them saying that Ashley Cole is the best left back in the world? Kama hiyo haitoshi wakasema kuwa the UCL is much better in quality than the World Cup after being eliminated in 2006 and 2010. It is the same UCL where Messi is embarrassing defenders by being the top scorer in the past FOUR (4) consecutive seasons (2008/9 -9 goals, 2009/10 - 8 goals, 2010/11 - 12 goals and 2011/12 - 14 goals).
 
Hii ni article kutoka kwenye newspaper uk...ni opinion ya mtu lakini kuna watu humu watasema ni wivu kwa messi..

MAGNIFICENT MESSI HAS BOTTLED OUT OF BIG TEST
​
Never thought I'd say it but I'm disappointed in Lionel Messi. The best player on the planet, arguably the best player of all time, I'd happily pay a small fortune to watch him play.
But why sign again at Barcelona?
Messi has won everything at Barcelona, there's nothing left to do there. So why not come to the Premier League so we can find out if he can do it out of his comfort zone?

Hilo swali angeanza kumuuliza Alex Ferguson. Why is he scared of leaving Man U?
 
Hilo swali angeanza kumuuliza Alex Ferguson. Why is he scared of leaving Man U?

incase ulikua hujui fergie alikua aberdeen kabla hajaja man utd akashinda european na scottish league so ashakua kwenye club mbili na kashinda makombe kwenye club zote mbili...messi na fergie? at least fergie ashakua kwenye club mbili..messi bado

wewe pamoja na wengine humu ndani ambao hata historia ya soka hamuijui mmekua mnaropoka eti fergie amekua kwenye club moja tu..fanyeni research kwanza kabla ya kuja kuropoka coz mnaumbuka..mnaonekana mnapayuka tu lakini hamjui mnachoongea
 
acheni kutoa hoja zisizo hata na point eti unasema kwanini habidilishi liggi tofauti wakati hizo timu zote kubwa zinapita katika champions leage na wanashindwa kumzuia messi mkuu kama unamchukia messi unajipa tabu tu roho yako messi ni king kuliko c.ronaldo
 
messi hakuna timu itakayo mnunua hawana hela ya kumtoa barca ila labda barca wenyewe wamtoe tu
 
Akichoka heri aende zake USA awe anapiga chenga woote hadi washabiki anarudi tena uwanjani...asiende UK watamuumiza ataishia kusugua benchi kwa majeruhi!

:biggrin1::biggrin1: hii kali
 
Messi hana haja ya kuthibitisha kwa mtu kuwa yeye ni bora,anayemuona ni bora ataendelea kumuona bora na anayemuona sie ataendelea kumuona hivo na uzuri spain is the home of stars wanasulubiana huko huko ronaldo leo angekuwa england tungesema la liga ni ligi soft lakini sasa wapo huko wote na kinachoendelea kinaonekana,ni misimamo tu lakini ukweli unaonekana usipompa sifa mtu anayostahili nafsi itakusta na utaishia kupata magonjwa mengine ya ajabu kwa sababu ya kuchukia mafanikio ya mtu kumbe huwezi jua labda hapo ni mwanzo tu!
 
Back
Top Bottom