hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,801
Ndugu zanguni
Mwenyezi Mungu huwa anaghaili katika ahadi zake
Kwa mfano katika familia ya Haruni(walawi)
waliokuwa wakitumika madhabahuni kwa bwana
Dhambi ya uzinzi ndio iliyowaangusha.
Na Gwajima kinachomtafuna ni
Dhambi ya uzinzi
Mungu hadhihakiwi.
Una hakika kuwa amezini?
Au unashuhudia kutokana na magazeti ya udaku?