Why Gwajima collapsed

Mbona na viongozi wengi wakubwa nchi hii pamoja na wafanya biashara wakubwa wanatajwa kuwa free masons. Basi usalam wote wa nchi uko hatarini

Hamna freemason anayeiba sadaka za masikini. huo ni mwamvuli tu wa wauza ngada.
 
Maombi ya ndugu Mbasha yamepokelewa rasmi mbinguni na yanayompata huenda file lake ndo linaanza kupitiwa Mbinguni huko!

Dua ya mtu alodhulumiwa hairudi nyuma. halaf bora angemdhulumu pesa sio mke...anauma kulik jino.
 
Dua ya mtu alodhulumiwa hairudi nyuma. halaf bora angemdhulumu pesa sio mke...anauma kulik jino.


Ndo maana nitasamehewa tu nisipoingia peponi! Kwenda kutubishwa na huyu mdhambi ni fedheha kubwa!
 
Hahaha kahtaan njoo, michambo yote ile kumbe muoga tu, mahojiano kajobhundred...mwenzie Ponda katwangwa risasi na anadunda....ye maneno tu yamempeleka icu.
Ila kuchamba anajua kuchamba yule baba...

Teh teh teh!

Mzee wa ufufuo leo kazimia. Na roho mtakatifu katoka baruti baada ya kumuona Kova na migambo wake.

Ndio ujue kuwa hawa matapeli wanaokula pesa za kondoo si lolote si chochote ni mapovu mengi tu.
Akisikia hata ka baruti kidogo anahara ovyo.

Ngoja tumsubiri roho wake huenda kaenda kujipanga Upakoni.
 
Last edited by a moderator:
Kudos emmanuel mbasha.

Hakika mungu hamtupi mja wake.

Chozi la mnyonge malipo kwa mungu baba.

Jasho la mnyonge haliliwi bure.

Dua ni dua lakini si kila dua ni dua.

Mungu anatenda
 
yule ni drug dealer na hata kwenye list ya viongozi wa dini wanaouza ngada jina lake lipo,ni cartel wa maana tu,wakina kova wametoa siri zake za kuuza unga jamaa ndo kapata shock
 
gwajima ana presha kumbe
sasa mshipa wa kutukana ana utoa wapi

ukiwa mgonjwa usiwe mchokozi
sikuzote wagonjwa wachokozi zana,wafipa wanakiswahili chao wanakwambia anatafuta pakufia
 
nawalakini na uwezo wakufikiri wa Gwajima na kondoo anao waongoza
 
mnawasingizia sana free mason wale jamaa wako well financed hawawezi kuhangaika na tupesa twamichango ya masikini,Gwajima na wenzake ni wapiga tumba na majizi ya mifukoni
 
Ndugu zanguni
Mwenyezi Mungu huwa anaghaili katika ahadi zake
Kwa mfano katika familia ya Haruni(walawi)
waliokuwa wakitumika madhabahuni kwa bwana
Dhambi ya uzinzi ndio iliyowaangusha.
Na Gwajima kinachomtafuna ni
Dhambi ya uzinzi
Mungu hadhihakiwi.
 
Kudos emmanuel mbasha.

Hakika mungu hamtupi mja wake.

Chozi la mnyonge malipo kwa mungu baba.

Jasho la mnyonge haliliwi bure.

Dua ni dua lakini si kila dua ni dua.

Mungu anatenda
Ndugu zanguni
Mwenyezi Mungu huwa anaghaili katika ahadi zake
Kwa mfano katika familia ya Haruni(walawi)
waliokuwa wakitumika madhabahuni kwa bwana
Dhambi ya uzinzi ndio iliyowaangusha.
Na Gwajima kinachomtafuna ni
Dhambi ya uzinzi
Mungu hadhihakiwi.
 
Hapa ndio napachoshwa na hii nchi inakuwaje siku zote walikuwa hawajui anapata wapi hizo pesa.Yawezekana nchi hii si salama kabisa
 

are u sure? chunga mdomo wako
 
Mungu anajibu maombi,mbasha alitia huruma jamani duuh.inauma kwa kweli
 

Una vithibitisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…