Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,729
Kenya na Africa wote waliweka matarajio makubwa kwa Obama mwisho wa siku akaleta ushoga.True hata mimi namkubali sana Bush alikuwa na agenda za kimaendeleo kwa Africa kama Saggot ,feed the future,power Africa,millenium challenge,pepfar,malaria,kifua kikuu na ukimwi na alitoa fursa sana za Agoa tofauti na Obama mzee wa institutional reforms
😬😬😬😬Kenya na Africa wote waliweka matarajio makubwa kwa Obama mwisho wa siku akaleta ushoga.
... hivi mchango wa China kwa Afrika ni upi?
HahahahaKukusaidia kupata kimeo ambacho kinakutia kiburi cha kucomment upuuzi JF
... hivi mchango wa China kwa Afrika ni upi?
The only contribution this guy made for Africa is the demonstration that a black man can hold a high profile position anywhereKenya na Africa wote waliweka matarajio makubwa kwa Obama mwisho wa siku akaleta ushoga.