Why George W Bush is Africa's favourite US President

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,596
38,325
Screenshot_20190717-173416.jpeg
Screenshot_20190717-173425.jpeg
Screenshot_20190717-173439.jpeg
Screenshot_20190717-173453.jpeg
 
True hata mimi namkubali sana Bush alikuwa na agenda za kimaendeleo kwa Africa kama Saggot ,feed the future,power Africa,millenium challenge,pepfar,malaria,kifua kikuu na ukimwi na alitoa fursa sana za Agoa tofauti na Obama mzee wa institutional reforms
 
Kenya na Africa wote waliweka matarajio makubwa kwa Obama mwisho wa siku akaleta ushoga.
 
Truly, Bush was a gentleman and I will for ever cherish his landmark war on terror that eventually culminated in the slaying of the infamous Osama bin Laden.
 
Aysee nakumbuka niko mitaa ya Magogoni napishana na msafara USA EX Clinton.. Baada mwaka niko likizo mbugani namuona tena na alikuwa very simple nilijumuika na wengine kupiga nae stori..Anakuja Tanzania kimya kimya kama Waziri Mkuu wa Canada.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom