Why feel inferior?

kha sasa kama akivutia wengi kuna shida gani?being a man means uwe confident in yourself.
Shida ipo kubwa tena sana, sahau na mtu kuwa confident. Unakuwa confident na mawivu kibao kichwani. Yaani mtu unakuwa huna amani kwa sababu tu mwanamke wako ni mzuri na kushindwa kutumia akili yako kwenye mambo mengine ya kimaendeleo kama vile ajira, elimu, afya, familia n.k. uwe tu unasikiliza mkeo akikwambia kwamba ametongozwa/amesumbuliwa na wanaume. Hii inasababisha mtu kupata hata shinikizo la damu bila sababu ya msingi. Ni bora uwe na mwanamke wa kawaida ambaye utakuwa na wivu wa kawaida, kwamba hawezi kuwa wa kusumbuliwa kwa sababu tu ya muonekano wake.
Kwa hiyo sidhani kama mtu anafeel inferior ila ni maamuzi tu ya mtu. Kwani unaweza kuwa na mwanamke wa kawaida(kila mwanamke anavutia) na ukapata vyote. Mara nyingi wanaojina ni wazuri sana huwa wasumbufu sana kwani hutumia uzuri wao kama silaha. Mara nyingi wanakuwa na fikra kwamba wana options nyingi za kupata wenza, lakini wengi wa hao wanaowasumbua ni kwasababu ya muonekano tu sio character wala personality.
 
believe me washushaji wakubwa wa confidence ya mwanaume ni wanawake kwa kuwa unpredictable.

kweli bana kuna dem alikua anapiga mastory za kujifanya yuko juu adi nkawa namuogopa cku moja kajichanganya nkagonga nkaja kugundua kumbe njaa tu adi nkajuta kwnn nlichelewa kumtafuna.
 
Unaweza kuwa expensive, ukaongelea sehemu expensive ila usioneshe dharau ya aina yeyote kwa wanamme.

Na dharau si mpaka useme neno, hata kutizama tu kunaongea mengi.

Mfanye mtu ajione konfotabo kuwa na wewe hata kama una status gani. Hata kama una uzuri kama uko interested na mtu, let him feel he can afford you lol
 
ure ryt Kongosho ila kuna watu no matter how much you try to make them feel that they can afford you hawaoni hlo. They just keep their first impression throughout!
 
Last edited by a moderator:
first impreshen ina matter ndio.

Kama siku ya kwanza ulijiweka expensive atakuwa na image hiyo hiyo.

Una weza kutana na mtu unavyompokea na kumsalimia anasahau hata kama una status ya juu ya mzuri.

Ukiwa na disadvantage kama hizo jua kuwa strength yako iwe kwenye siku ya kwanza unavyokutana na mtu.

Macho huongea mengi sana kuliko maneno.

ure ryt Kongosho ila kuna watu no matter how much you try to make them feel that they can afford you hawaoni hlo. They just keep their first impression throughout!
 
Last edited by a moderator:
Shida ipo kubwa tena sana, sahau na mtu kuwa confident. Unakuwa confident na mawivu kibao kichwani. Yaani mtu unakuwa huna amani kwa sababu tu mwanamke wako ni mzuri na kushindwa kutumia akili yako kwenye mambo mengine ya kimaendeleo kama vile ajira, elimu, afya, familia n.k. uwe tu unasikiliza mkeo akikwambia kwamba ametongozwa/amesumbuliwa na wanaume. Hii inasababisha mtu kupata hata shinikizo la damu bila sababu ya msingi. Ni bora uwe na mwanamke wa kawaida ambaye utakuwa na wivu wa kawaida, kwamba hawezi kuwa wa kusumbuliwa kwa sababu tu ya muonekano wake.
Kwa hiyo sidhani kama mtu anafeel inferior ila ni maamuzi tu ya mtu. Kwani unaweza kuwa na mwanamke wa kawaida(kila mwanamke anavutia) na ukapata vyote. Mara nyingi wanaojina ni wazuri sana huwa wasumbufu sana kwani hutumia uzuri wao kama silaha. Mara nyingi wanakuwa na fikra kwamba wana options nyingi za kupata wenza, lakini wengi wa hao wanaowasumbua ni kwasababu ya muonekano tu sio character wala personality.
ni kweli wanaume wengi wanaogopa sana kuoa wanawake wazuri koz wanakua wanafatwa sana (wanatongozwa sana)
kwenye black uko zaidi ya sahihi mkuu na iyo ndio huwasababisha hata wasiolewe na kubakia kua vimada wa mapedeshee wa town
 
first impreshen ina matter ndio.

Kama siku ya kwanza ulijiweka expensive atakuwa na image hiyo hiyo.

Una weza kutana na mtu unavyompokea na kumsalimia anasahau hata kama una status ya juu ya mzuri.

Ukiwa na disadvantage kama hizo jua kuwa strength yako iwe kwenye siku ya kwanza unavyokutana na mtu.

Macho huongea mengi sana kuliko maneno.
ur more than right mkuu
 
kweli bana kuna dem alikua anapiga mastory za kujifanya yuko juu adi nkawa namuogopa cku moja kajichanganya nkagonga nkaja kugundua kumbe njaa tu adi nkajuta kwnn nlichelewa kumtafuna.
haha khaa! jamani wanaume ninyi lol!
 
Shida ipo kubwa tena sana, sahau na mtu kuwa confident. Unakuwa confident na mawivu kibao kichwani. Yaani mtu unakuwa huna amani kwa sababu tu mwanamke wako ni mzuri na kushindwa kutumia akili yako kwenye mambo mengine ya kimaendeleo kama vile ajira, elimu, afya, familia n.k. uwe tu unasikiliza mkeo akikwambia kwamba ametongozwa/amesumbuliwa na wanaume. Hii inasababisha mtu kupata hata shinikizo la damu bila sababu ya msingi. Ni bora uwe na mwanamke wa kawaida ambaye utakuwa na wivu wa kawaida, kwamba hawezi kuwa wa kusumbuliwa kwa sababu tu ya muonekano wake.
Kwa hiyo sidhani kama mtu anafeel inferior ila ni maamuzi tu ya mtu. Kwani unaweza kuwa na mwanamke wa kawaida(kila mwanamke anavutia) na ukapata vyote. Mara nyingi wanaojina ni wazuri sana huwa wasumbufu sana kwani hutumia uzuri wao kama silaha. Mara nyingi wanakuwa na fikra kwamba wana options nyingi za kupata wenza, lakini wengi wa hao wanaowasumbua ni kwasababu ya muonekano tu sio character wala personality.

mimi naamini mwanamke akitongozwa anakua ameruhusu mwenyewe.huwezi ukaingia mahali kama hujatengenezewa mazingira. So hofu ya kuoa mwanamke mzuri kisa atasumbuliwa hyo ni yeye mwenyewe kuamua asumbuliwe/atongozwe au la.
 
first impreshen ina matter ndio.

Kama siku ya kwanza ulijiweka expensive atakuwa na image hiyo hiyo.

Una weza kutana na mtu unavyompokea na kumsalimia anasahau hata kama una status ya juu ya mzuri.

Ukiwa na disadvantage kama hizo jua kuwa strength yako iwe kwenye siku ya kwanza unavyokutana na mtu.

Macho huongea mengi sana kuliko maneno.

Thanx darling!! Will work on that part to see if it needs some brushing!!
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom