“Why don’t you just come over and we can have NANILIU......”

“Why don’t you just come over and we can have NANILIU......”

Hahahaaa......... Yakinishinda mie, wewe yatakuwa yamesha kushinda kitaaambooo..!!!
Halafu unajua siku ukinijua utasikia aibu..
Hebu muulize farkhina, alipiga magoti na kuomba radhi... Hivi sasa ana adabu zote maana amenijua mimi Mtambuzi nina wadhifa gani hapa nchini..
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha...ulitegemea nani ayafanye majukumu yako home? Tena kama mimi ni mama Ngina ningehakikisha unakaa lock up kwa muda usiojilikana...Lol...
 
Halafu unajua siku ukinijua utasikia aibu..
Hebu muulize farkhina, alipiga magoti na kuomba radhi... Hivi sasa ana adabu zote maana amenijua mimi Mtambuzi nina wadhifa gani hapa nchini..

Hahahahaaa..... Magoti nitakupigia kwa issue nyingine ila mambo ya wadhifa mie huwa siyapapatikii kabisaa..!
 
Najua wadada wa humu mtakuwa mmefurahi kusikia mama Ngina kakaba mpaka penati.....

saanaa!! Ndiyo dawa yenu hiyo! Eboh! Yani ujitie ubize wakati muafaka khaa! Si ugomvi huo!! Na mainswitch mbona itazimwa! Chezeya wawili!! Hehee! Ila pole mana utakuwa unamis makala zako ile mbaya!
 
He mama Ngina kawa kifaa tena, hebu nitake radhi aisee.....

angry-woman-in-bed.jpg



Haya mkuu, kama MAMA NGINA asingekua kifaa (wa ukweli) asingekuadimisha JF. Na maanisha hivyo na si vinginevyo. Mwisho wa yote quality time na mama ngina muhimu sana...........sorry kama nimekukwaza mkuu.
 
Hahahahahahaahaaaaa!!!! Hureeeeeeeeeeeeeeeee!!! Hongera Mama ngina, yaani nampa BIG UP kwa sanaaa!!! Maana akina Mtambuzi wamezidi, wao na JF jf na wao , kiasi anakusahau kabisaaaa!! mtu unakuwa kama somo la option na siyo lazima, maana yake nini, kwa kweli hata mimi itabidi nimuige mama Ngina kuweka mkazo kwenye hilo swala la Sakalamenti Takatifu niwe naipata kila siku, Ingawa sichelewi -------!!!!!:becky::becky::becky:
 
angry-woman-in-bed.jpg


dating-online.jpg



Haya makitu wakati mwingine yanatuletea kisirani majumbani mwetu lakini sijui kwa nini hatusikii. Kuna wadau wanashangazwa na kuadimika kwangu hapa mtandaoni, laiti wangejua kilichonitokea wasingekuwa wananilaumu kwa kuadimika kwangu.


Mwenzenu nimethibitiwa ndio maana sisomeki kwenye zile makala maarufu za kila Ijumaa.......
Salama yako ni kwamba addiction ya JF ina nafuu, kuna ka-mchezo kanaitwa "Candy Crush Saga". Haka kakikulolea unaweza kusahau hata Naniliu ilipo!.:smiling:
 
mie na mshua wangu Mtambuzi wala hatudhuriani. nam-blackmail tu tunamalizana na keki ya black forest. i dont wanna hurt my mom na naamini mshua is cheating responsibly:cheer2:
Au usikute mabinti zake wamemtonya vurugu za baba yao...nina wasiwasi na King'asti kauza ramani kwa mamaye...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom