Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,441
Haya makitu wakati mwingine yanatuletea kisirani majumbani mwetu lakini sijui kwa nini hatusikii. Kuna wadau wanashangazwa na kuadimika kwangu hapa mtandaoni, laiti wangejua kilichonitokea wasingekuwa wananilaumu kwa kuadimika kwangu.
Mwenzenu nimethibitiwa ndio maana sisomeki kwenye zile makala maarufu za kila Ijumaa.......