Why do you think it is easy to mobilize muslims for a rally than christians!!

Status
Not open for further replies.
Waislam ktk jamii ya watanzania wapo duni ktk huduma za elimu,afya,hawana uongozi unaokubalika na waislamu kwa pamoja.na la muhimu wengi wao hawana ajira za maofisini wengi wanauza maduka,sokoni,vijiweni etc hivyo hawana cha kuogopa kupoteza ajira.pia wakristo wataogopa investments zao walizonazo mashule,hospitali na mashirika yao ya misaada yanayofaidi misamaha na ruzuku za serikali.waislam hawana cha kupoteza zaidi ya uhai
we razima utasomewa albadiri:sick:
 
hii inatokana na nature ya dini yenyewe . Dini ya kiislam ilianzishwa mwaka 500c A.D na ilianza kwa kukusanya watu wengi wao walikuwa wahuni , majagili na wengi wao walikuwa ni wale ambao nje ya miji ( miji mingi ya dhamani ilikuwa imezungushiwa kuta, sasa watu wenye soo salitolewa nje ya mji) hao ndio walikusanywa na kuanzisha hiyo dini.

ilikuwa ni dini ya tibwili tibwili tangu mwanzao ilikuwa ni lazima kuipokea ili mambo yako yawe salama , mfano watumwa walitakiwa kuikubali dini ili wawe huru n.k. na kiingine imeigemea sana kwenye shali na jazba, kukurupuka n.k

ni kweli kuwahamasisha waislamu hauhitaji kuwa na kitu kikubwa , jambo dogo tu wanaweza kuandamana mji mzima mfano hata haya nayoyachangia nisababu tosha kwao kuandamana. nakubaliana na kiongozi mmoja jina limenitoka sijui ni papa au kiongozi wa Dernimark alisema ":A S 20:
 
My dearlest members of JF,
Somebody has told me that it is easy to mobilize muslims for a rally within a short period of time than doing the same to their counterpart christians. By the way, is this postulate true? If yes, what could be the reason(s)? I am thinking of one or two reasons but let me learn your views first and will come back latter.
GOSBERTGOODLUCK majibu ni kama yafuatayo:-
1)Uoga wako ulianza tangu ulipokuwa mdogo kipindi nawe uliliwa tigo(kubakwa) km watoto wa Ireland na Mapadre zako.
2)Uoga wako unatokana na vijidudu vyako vya nyuma ambavyo vimekufanya uwe cronic shoga kma viongozi wako ambao nao ni mashoga. Alwyz mashoga wana nidhamu ya uoga
3)Uoga wako unatokana na tamaa ya kuridhika na vitu vidogo mfano apo ushamiliki simu,laptop etc unachat pumba humu JF basi umeridhika. Kwa waislamu dunia ni kituo cha bus tu so nothing to loose.
4)Ukiendelea ntazidi kukupa dozi za kitaani au nami ntakuja kukubaka km ulivyofanywa utotoni mpk sasa ushakuwa shoga.

ONYO:
utakuwa unajibiwa kwa lugha kali mpk ujirekebishe manake unaboa sana.Mada zako nyingi za uchochezi na unatoa watu kny mada zenye concetrations humu JF ambazo ni Ufisadi,Katiba na Maisha bora kwa kila mlala hoi badala yake unatenganisha watu kwa udini kila siku unapochangia.

USHAURI wa bure. Angalia Egypt,Tunisia etc dini hazikuhusishwa na badala yake wakaungana wote. In Egypt wakristo wako 10% lkn hawakutengwa na wanapigania haki. We km umetumwa jifunze. Tumekuchoka na pumba zako.













.
 
Kuanzia mwezi wa kumi 2010, JF imepata watu from every corner with either little or zero thinking capacity.

This is not the JF ambayo tulipigania kwa Manumba kuiacha alone. Just an advise Tanzania need more constructive thought than this defecive ideas. We need analyze things which hurts everybody.

For those who said is only Muslim who are poor then they're lunatic, because Poverty is deep across Tanzania. I visited almost every corner of Tanzania and we all share one thing, umasikini. So, instead of focusing on things which we differ, we should focus on what we've in common. Poverty, ufisadi, and many more.

This blind eye is why Middle East is suffering until leo, they only focus on Palestine vs Isreal conflicts, while there people are dying.

Use your head to think Mtanzania and not your butt. Tanzania need muslim and christian to move forward, we need one another. Solidality will start here, we're the so called educated Tanzanian right? Then act like one idiot.
Very Good my JF Member for your vision,they need also to know that Tanzania is not for muslim and christian only,there many Tanzanians neither muslims nor christians,Let think issue like results of currently Form 4 .Is this burden for which faith?definetelly is for all faith,how can we use Churches and mosques to eradicate this situation?
 
Kuanzia mwezi wa kumi 2010, JF imepata watu from every corner with either little or zero thinking capacity.

This is not the JF ambayo tulipigania kwa Manumba kuiacha alone. Just an advise Tanzania need more constructive thought than this defecive ideas. We need analyze things which hurts everybody.

For those who said is only Muslim who are poor then they're lunatic, because Poverty is deep across Tanzania. I visited almost every corner of Tanzania and we all share one thing, umasikini. So, instead of focusing on things which we differ, we should focus on what we've in common. Poverty, ufisadi, and many more.

This blind eye is why Middle East is suffering until leo, they only focus on Palestine vs Isreal conflicts, while there people are dying.

Use your head to think Mtanzania and not your butt. Tanzania need muslim and christian to move forward, we need one another. Solidality will start here, we're the so called educated Tanzanian right? Then act like one idiot.

they dont need christians,..havent you read their declaration at diamond jubilee,mwanza,tabora,...they've spoken crystal clearly that they want to cesede..they want an islamic country,they want the constitution to stipulate the existence of sharia,oic,kadhi and all that stuff,..why do you call these demands in one word??garbage,in a secular country!and it seems to me like they got all the blessings from the tone at the top,..what ANNUR(islamic newspaper)publishes every week is something provocative against christians,.and this happens everytime a muslim president resides in the state house...if what annur publishes week in week out represents the thoughts of muslims!!!!lord protect us...get your copy of annur of 2 february 2011,...u wont have to read between lines because their message is simple and clear...we dont like you christians,..on the contrary i love them cuz my mom is muslim and she isnt a radical
 
Wakati wote naona upo msingi wa madai ya Waislamu kuhusu OIC na Mahakama ya Kadhi lakini baadhi yetu tunapotosha hoja za msingi kuhusu madai hayo na kufanya wale wanaotusikiliza wapate shaka ya namna ya ujengaji hoja wetu.

Kwa mfano, Vatican sio Jumuia ya kidini ni nchi labda tuite ya kikristo japo wao hawapendi kuitwa hivyo kama ilivyo kwa nchi nyingine za Kiislamu kama Iran, Saud Arabia nk. Vatican haitoi misaada kwa wakristo bali kwa wakristo wakatoriki tu ambao mfumo wao wa kukusanya sadaka ni lazima ziende kwanza vatican na kisha kurudi katika makanisa yake duniani kote. Kama kuna mtu anafikiri Vatican imeundwa kwa ajili ya wakristo wote anaupotosha uuma na kufanya hoja ya OIC kushindwa kukidhi au kupata uzito na hivyo kufananisha vitu viwili tofauti. Ndio maana duniani kote Vatican wana mabalozi wake kama ilivyo kwa nchi za kiislamu kuwa na mabalozi hapa Tanzania na kwinngineko.

OIC ni Jumuia ya nchi za Kiislamu au kwa maneno mafupi sio nchi kama ilivyo Vatican na Iran bali ni mfano wa ushirikiano wa nchi za kiislamu ingawa hivi sasa kuna nchi zisizo za kiislamu zimeanza kuruhusiwa kuingia lakini jina la OIC na katiba yake imebaki vilele bila kubadilika ili kuweza kukidhi matakwa ya nchi ambazo si za kiislamu.

Hoja hapa.....Ni kwa nini nchi kama vile Vatican au Iran ambazo ni nchi za kidini zinatoa misaada kwa dini husika (wakristo au waislamu) bila nchi yetu kuwa mwanachama wa nchi hizo lakini OIC haiwezi kukubali kutoa misaada kwa waislamu bila nchi kulazimika kuwa mwananchama wa OIC. Kama ni kweli misaada inawalenga zaidi waislamu, OIC haioni kuwa ni faida zaidi kuilekeza misaada hiyo moja kwa moja ndani ya taasisi na juimuia za kiislamu zilizopo nchini kuliko kuilekeza kwa watanzania wote na hata wasio waislamu? Kama nchi yetu ingekuwa na ubaguzi wa kidini basi hata balozi za nchi zinazijitambulisha kwa dini moja zingezuiwa kuwapo nchini. Naamini ni muundo na masharti ya OIC yanayotuweka njia panda ya namna ya kutoa uamuzi.

Mahakama ya Kadhi ni suala ambalo limeandikwa kwenye kitabu kitakatifu, koran kwa waislamu na ndipo unyeti wake unapoanzia kwa mantiki kwamba mahakama hiyo sio suala la kufikirika. Naunga mkono sana waislamu kuwa na mahakama yao kwa mujibu wa imani yao kama ilivyotelemshwa kupitia kwa mtume Mohammed (SAW) kutoka kwa Allah. Suala hili linaleta mvutano kwa sababu ya mazingira ya nchi yetu yalivyo yaani kuwepo kwa mchanganyiko wa dini mbalimbali. Hata hivyo, hoja zikijengwa kwa makini hasa kwa wenye hofu suala hili ni jepesi kupatiwa ufumbuzi. Maswali magumu juu ya mahakama hii yakijibiwa hofu itaondoka kwa watanzania wasio waislamu.
 
kwa wa kristo yawezekana ikawa ni woga wa kitakachofuata baada ya hapo (yaani kipigo kutoka polisi) au inawezekana HAWATAKI kujiingiza ktk kitu bila kujua kiundani sababu ya msingi ya kufanya hivyo.
 
Mtoa Mada anahoja ya msingi Tena nzito hasa! / ipo haja ya upendeleo maalumu ikawekwa hasa ktk elimu na uzalendo pia serikali ikajaribu kuyatatua Yale yote yanayolalamikiwa /kila jambo linaloibuliwa likawa linapata majibu ya haraka
 
nafkiri kwanza juu ya nature ya dini yenyewe yani mafundisho ya dini yenyewe mfano ukristo huelekeza watu kuishi maisha mema/matakatifu,kusamehe kutorudisha baya kwa baya na zaidi huamini shida huondolewa kwa maombi kama alivyokuwa akiishi mkombozi wao yesu kristo.kuna mmoja wa wanafunzi wake alichukua upanga kumkata mtu akamkataza na kusema vita yetu si ya damu na nyama.na mimi sijawai kusikia makundi ya kikristo yenye misimamo mikali na ndiyo maana mpaka sasa mambo ya OIC n.k wakristo wako kazini wanaomba siyo kwa maandamano.

Look the recent Obamas speech and also look at the CRUSADERS, also goggle THESE ARTICLES:

1. THE BLACK POPE
2. ILLUMINATE AND THE CHURCH
3. HOW THE VATICAN RULES THE WORLD.
 
kwa wa kristo yawezekana ikawa ni woga wa kitakachofuata baada ya hapo (yaani kipigo kutoka polisi) au inawezekana HAWATAKI kujiingiza ktk kitu bila kujua kiundani sababu ya msingi ya kufanya hivyo.

Ni ustaarabu na uwelewa na kujali muda pia kuangalia faida na hasara kuwa na mtazamo mpana zaidi
 
Waislam ktk jamii ya watanzania wapo duni ktk huduma za elimu,afya,hawana uongozi unaokubalika na waislamu kwa pamoja.na la muhimu wengi wao hawana ajira za maofisini wengi wanauza maduka,sokoni,vijiweni etc hivyo hawana cha kuogopa kupoteza ajira.pia wakristo wataogopa investments zao walizonazo mashule,hospitali na mashirika yao ya misaada yanayofaidi misamaha na ruzuku za serikali.waislam hawana cha kupoteza zaidi ya uhai

Sawa kabisa. Sasa nani aliyewafanya wakristu kufanikisha hayo kama sio mafundisho yao kutoka kitabu kitakatifu bible,wakati wakirstu wakipeleke watoto wao chekechea upande wa pili wanapeleka watoto kusoma................. malizia. Acha kupotosha umma kwa uvivu wa kufikiri.
 
Sio waislamu wote ni baadhi yao hasa hasa "sunni" aka wazee wa sunna ya mtume na 7bu kubwa ni kwamba wana hisi kudhulumiwa popote duniani wakiwa na waislam wenzao au wasiokuwa waislamu. Ukifatilia 95% ya vurugu za kidini duniani (uarabuni, india, china, ulaya, africa) hili kundi linahusika.
 
Kwa sababu waislam wengi hawajaelimika... Kiongoz wao wa dini analolisema wanafata kama.lilivyo.. Bila kutafajari mapungufu ya kiongozi husika.. Na ndyo maana waliwapa ushindi mkubwa utawala wa CC kwa miadi ya mahakama ya kadhi


tofaut na mkristo ambaye kama padri au mchungaj akiagiza jambo hawalichukulii kama command... Wanalitafakari wakiona jema wanaunga mkono.. Wakiona halina mantiki wanalipuuza....
 
Kwa sababu waislam wengi hawajaelimika... Kiongoz wao wa dini analolisema wanafata kama.lilivyo.. Bila kutafajari mapungufu ya kiongozi husika.. Na ndyo maana waliwapa ushindi mkubwa utawala wa CC kwa miadi ya mahakama ya kadhi


tofaut na mkristo ambaye kama padri au mchungaj akiagiza jambo hawalichukulii kama command... Wanalitafakari wakiona jema wanaunga mkono.. Wakiona halina mantiki wanalipuuza....

Maandamano mengi katika nchi zenye waislam yana msingi wa fujo na uharibifu wa mali.

Uislam umejikita katika fujo,kwa hiyo ukiita waislam kwenye maandamano unakua umewaita waje nyumbani,tegemea kufurika.
 
The secret behind /ambayo ni ngumu kufahamika ambayo pia wengi hawaifahamu HAUWEZI MWAGA DAMU YA MWANADAMU MWENZAKO KWA KISINGIZIO CHOCHOTE KILE UKABAKI SALAMA it must one day comes and irritates you /hivyo huweza kutengeneza unfinished killings GENERATIONS
 
Wakristo wanasema " mpende jirani yako kama nafsi yako" hii ni mojawapo ya amri za ukristo wao. kwa hiyo jirani ya mkristo haiangaalii yuko dini gani, mhimu ni kuwa jirani basi. Waisilamu wanasema " nduguyo ni mwisilamu". Nasi ni amri muhimu sana katika dini yetu. kwahiyo hata ukiwa jirani ya muisilamu siyo nduguyo. Nikirudi kwenye maada, ni rahisi sana kuwaunganisha ndugu waandamane kwa sababu watakuwa waanaamini kitu kimoja lakini siyo rahisi kwa majirani, kwa sababu kila mmoja ana priorities zake.
 
wakristo huamini katika Kriato na mafunzo yake mfano ya kaisar mpe kaisari. sasa utawashawishi kwa lipi wkt Yesu alikataa?

wafuga majini wao kila kitu wanataka kiwe chao. halafu wkt wengine wanatumia akili kujijengea misingi ya maisha, wao wanatumia maguvu kujenga misingi ya maisha yao.

pamoja na ukweli kuwa, matajiri wa tzania wengi waislam, hawajafanya la maana kuinua maisha ya jamii.

mengi na vijisent vyake ameinua jamii hila kujali dini
 
Ukiachana na mafundisho ya Yesu Chimbuko la madhehebu mengi ya kikristo ni civilization. Since enzi za Roman empire. Christians waliona elimu ndio mkombozi kama bible inavyosema mshike sana elimu usiache aende zake. Kabla ya kukurupuka kwa jazba think impact ya kile utakachokifanya. Bila elimu utazolewa tu kama nyanya na kurundikwa barabarani kuandamana bila hata kujua manufaa. Wengi wa hao waislam ni uneducated wenye maisha duni so they got nothing to lose
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom