Why do you think it is easy to mobilize muslims for a rally than christians!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why do you think it is easy to mobilize muslims for a rally than christians!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Jan 28, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  My dearlest members of JF,
  Somebody has told me that it is easy to mobilize muslims for a rally within a short period of time than doing the same to their counterpart christians. By the way, is this postulate true? If yes, what could be the reason(s)? I am thinking of one or two reasons but let me learn your views first and will come back latter.
   
 2. e

  elimukwanza Senior Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nafkiri kwanza juu ya nature ya dini yenyewe yani mafundisho ya dini yenyewe mfano ukristo huelekeza watu kuishi maisha mema/matakatifu,kusamehe kutorudisha baya kwa baya na zaidi huamini shida huondolewa kwa maombi kama alivyokuwa akiishi mkombozi wao yesu kristo.kuna mmoja wa wanafunzi wake alichukua upanga kumkata mtu akamkataza na kusema vita yetu si ya damu na nyama.na mimi sijawai kusikia makundi ya kikristo yenye misimamo mikali na ndiyo maana mpaka sasa mambo ya OIC n.k wakristo wako kazini wanaomba siyo kwa maandamano.
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  Waislam ktk jamii ya watanzania wapo duni ktk huduma za elimu,afya,hawana uongozi unaokubalika na waislamu kwa pamoja.na la muhimu wengi wao hawana ajira za maofisini wengi wanauza maduka,sokoni,vijiweni etc hivyo hawana cha kuogopa kupoteza ajira.pia wakristo wataogopa investments zao walizonazo mashule,hospitali na mashirika yao ya misaada yanayofaidi misamaha na ruzuku za serikali.waislam hawana cha kupoteza zaidi ya uhai
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wakristo wanapata vyote tena na ziada so hawana malalamiko!

  Misamaha ya kodi wanavuta, misaada kutoka vatican (no barriers), MoU ya serikali kupeleka remmitence millions kila mwaka wanavuta!

  Nafasi za uongozi serikalini, mashirika ya umma over represented (80%) kwa ufupi wana kula kuku kwa mrija

  Waandamane nini?
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  QUOTE=BONGOLALA;1557121]

  Waislam ktk jamii ya watanzania wapo duni ktk huduma za elimu

  Ingefaa zaidi ungetuambia ni kwa nini wako duni kwenye huduma za elimu. Je ni kwa sababu wakati wenzao wanaenda kusoma elimu ya kawaida (wanaita elimu dunia) wao walikuwa busy kupunga upepo viobarazani na kung'ang'aniza kushika elimu dini na kuona elimu dunia haifai kwa kuwa itawapotosha au ni kwa sababu walinyimwa admissions?

  ..........afya

  Napata tabu kukuelewa...kuna hospitali ambayo ukienda ukiwa muislam hutibiwi kwa kuwa ni muislam au?? Dawa zinazotolewa na serikali huwa zina sharti la dini ili ziponye? au ndio tuseme mbu wanaoambukiza maleria wana ubaguzi wa kidini na kuwang'ata waislamu tu?? Au ni ile ile ukosefu wa elimu umewafanya kukosa elimu ya afya ya msingi?

  hawana uongozi unaokubalika na waislamu kwa pamoja................

  Hapa ndio umenipoteza kabisa!!!!

  na la muhimu wengi wao hawana ajira za maofisini wengi wanauza maduka,sokoni,vijiweni etc hivyo hawana cha kuogopa kupoteza ajira.

  Ni haki yao kutokuwa nazo...mtu huvuna alichopanda...Kazi za maofisini zinahitaji shule ya ile elimu iliyokuwa inaonekana haina maana (elimu dunia) na wala haihitaji ujue Quran zote na hadithi zote za mtume wala Biblia..Nadhani halihusiani na chochote zaidi ya lile la kwanza la elimu


  pia wakristo wataogopa investments zao walizonazo mashule,hospitali na mashirika yao ya misaada yanayofaidi misamaha na ruzuku za serikali.waislam hawana cha kupoteza zaidi ya uhai

  ......Hivi na wale waislam wa kule Misri na Algeria, Tunisia et. al. hawana ivestment?? duuh!! kazi ipo!!

  [/QUOTE]

  Du pole sana, naona kauchungu kwenye text yako kamekukaba vibaya sana. Pole sana ila nashukuru kwamba sasa mmerudi kwenye mkazo wa elimu dunia na mnasoma sana, Hii angalau itawasaidia na nyie kuajiririwa na ku[ata akili pana ya kuanzisha uinvestment na tuone kama mtabadilika...
   
 6. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Thank you very much indeed! You have pre-empted me. Any way, let's learn more from other members.
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sio rahisi hata kwa waislamu kuandamana, maana hawa jamaa walionyimwa posho wanakong'ota kweli. Sasa hivi sio rahisi
   
 8. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Du pole sana, naona kauchungu kwenye text yako kamekukaba vibaya sana. Pole sana ila nashukuru kwamba sasa mmerudi kwenye mkazo wa elimu dunia na mnasoma sana, Hii angalau itawasaidia na nyie kuajiririwa na ku[ata akili pana ya kuanzisha uinvestment na tuone kama mtabadilika...
  [/QUOTE]

  Thank you for the contribution. I am begining to learn something strange. These people have got something in common which describe them better. Let's wait views from other members and make a sensible conclusion and where neccessary recommendations to our political leaders.
   
 9. T

  Topical JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  naona wala huhitaji majibu, nenda kawaulize maaskofu mkuu kwanini hamtaki kuandamana
   
 10. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,081
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Weak statements kama hizi ni jibu tosha kwa nini baadhi ya wanasiasa wanawatumia kwa manufaa yao. Na wanalijua hilo kwamba this is all your brain can process. Keep on exposing your brainwashed mind.
   
 11. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Very constructive reply
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hizo strong statement zako ndiyo zipi mkuu?

  You have programmed mind
   
 13. F

  Fenento JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bado hatuja jibu ipasavyo,bali tumeshambuliana tuu tena kwa minajili ya dini zetu badala ya kujibu hoja. :thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:
   
 14. F

  Fenento JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 320
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bado hatuja jibu ipasavyo,bali tumeshambuliana tuu tena kwa minajili ya dini zetu badala ya kujibu hoja. :thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking::thinking:
   
 15. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Nafikiri Solidarity ya Muslims ni kubwa linapotokea jambo lolote linalowagusa ama kumgusa mmoja wao (positively/negatively),sina hakika km mafundisho ya dini yao yanasemaje ktk hili lakini km alivyocomment mchangiaji wa kwanza Wakristu wanafunzwa kusamehe kutorudisha baya kwa baya na zaidi huamini shida huondolewa kwa maombi kama alivyokuwa akiishi mkombozi wao yesu kristo....huu ni mtazamo huru tu niombe radhi km nitamkwaza mtu kwa namna moja ama nyingine!
   
 16. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Kuanzia mwezi wa kumi 2010, JF imepata watu from every corner with either little or zero thinking capacity.

  This is not the JF ambayo tulipigania kwa Manumba kuiacha alone. Just an advise Tanzania need more constructive thought than this defecive ideas. We need analyze things which hurts everybody.

  For those who said is only Muslim who are poor then they're lunatic, because Poverty is deep across Tanzania. I visited almost every corner of Tanzania and we all share one thing, umasikini. So, instead of focusing on things which we differ, we should focus on what we've in common. Poverty, ufisadi, and many more.

  This blind eye is why Middle East is suffering until leo, they only focus on Palestine vs Isreal conflicts, while there people are dying.

  Use your head to think Mtanzania and not your butt. Tanzania need muslim and christian to move forward, we need one another. Solidality will start here, we're the so called educated Tanzanian right? Then act like one idiot.
   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,592
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Kaka umegonga pale pale, wengi waliojunga 2010 kuanzia mwezi wa sita, they have very very low thinking capacity! nime-observe na wengi huwa hata sijibu maada zao, si kwa sababu ni junior members wengi hoja zao hazina mashiko, wako wako tu! phewwwwwwwwww!!!
   
 18. afroPianist

  afroPianist Member

  #18
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani umefika wakati watu wenye dhamana ya kusimamia vision ya JF kuiweka wazi zaidi ili sote tukumbuke hasa umuhimu wa hili jukwaa. Nimeshawishika kuamini kuwa pamoja na mambo mengine, JF ni jukwaa la kufanya dialogue ili kusaidia kufikia muafaka wa kitaifa pamoja na tofauti zetu za imani,kipato,elimu,mawazo,tamaduni n.k.

  Mijadala inayohusu imani zetu tofauti ina maana tu hasa pale inapotafuta compromise, tolerance & reconciliation. Isiwe ni kunyoosheana vidole,matusi na kejeli kwani mwisho wa siku ni mfumo mbovu ndio umetufikisha hapa, na kwahiyo maaskofu/wachungaji wamekosea kwa mambo mengi lkn hata mashekhe/maimamu pia wamekosea kwa mengi. Turekebishe,tutafute common ground twende mbele kwani sote twahitajiana.Sisi vijana tuchukue fursa hii kukataa kutenganishwa, tusimame imara kwani sisi ndio tutakao athirika kuliko wazee hawa wanaooneka kuchoka kuvumiliana.

  By the way, mada zisizojenga hasa zenye udini tuzipotezee, ikiwezekana mods muwe mnazifuta kabisa.
   
 19. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2011
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Ukiangalia unaweza kuona kuwa kuna baadhi ya mafundisho yanaeleza baadhi ya waumini kuwa wanaonewa. This time around ni vizuri sana kuona wanalaumu serikali zao na sio wakristo. Siku zote utasikia makafir (non muslims) ndio tatizo. Tumesikia Tunisia, Algeria, Masr, sasa Jordan, huko kote viongozi na serikali zai sio makafir.
  Tanzania pia tunabahati rais wetu, makamu wake na katibu wa chama sio makafir, labda kungekuwa na kisingizio cha kuandamana.
   
 20. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Quote from afroPianist,
  ''By the way, mada zisizojenga hasa zenye udini tuzipotezee, ikiwezekana mods muwe mnazifuta kabisa''.

  mimi binafsi natofautiana kabisa na huyu bwana,na wale wote wanaodhani wanaown JF kwamba wao ndio wanamaakili mno ukizingatia hapa hatujaweka cv zetu bali tunajadiliana kitaifa zaidi. tuache iwe wazi kwa watanzania wote, wawe wamejiunga leo,jana ama juzi

  hivi ndivo tutajua kuhusu watanzania, kama fikra zao bado zipo 'low' tutawajenga humu; hili sio jukwaa la kupongezana na kuleta fikra moja, tutarajie kutofautiana kwa hoja za msingi na za kipuuzi.

  tukirudi kwenye hoja, nakubaliana na Gosbertgoodluck; zikijengwa barabara hazipewi makanisa wala misikiti bali ni za watanzania wote, zikijengwa shule,hospitali za serikali hivyohivyo ni za watanzania.

  swala la nani ni easy kumobilize kwangu mimi naona linatokana na mengi; simply njaa za viongozi wachache wa muslim kwaio kununulika kisiasa inakua ni rahisi mno kwani hata kimaadili wapo chini huku kwani ya mafisadi wapo nyuma yao kupoteza muelekeo wa nchi.

  humo humo naona mgawanyiko kati yao muslim upo, sheikh mkuu Simba anayetambulika kihalali hajaongea neno kuhusu tamko lolote. Na wale wote wasomi ukikutana nao mtaani, wengi wao wameonyesha hili swala lilikuja kama news kwao.

  jambo lingine naona ni viwango vya elimu, wengi wao ni mamwinyi walikaa kucheza bao pindi wenzao walipokuwa shule! kwaio hao wachache waliosoma ndio wanawapeleka chaka wenzao ambao wanakuwa na imani nao. Ila kama alivosema mdau mmoja, nashukuru sasa hivi wapo wengi mavyuoni;kwaio hivi karibuni watabadili muonekano wao.

  ni mtazamo wangu tu..
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...