Why Do You Cheat?

Mkuu sijaelewa vizur kama huyo ni mke rasmi au laa, lakini inasemwa ukiona wake wenza wanapendana basi fahamu kuna mambo wanashirikiana vizur tu na wanaenda sawa

Sikutishi lakini wanaweza hata kufichiana siri za kuchepuka
 
Ukiwa na dem mmoja kuna tatizo gani
Huo umalayer we mzee
jiulize mbona mtiwa mafutamfalme sulema alikuwa na wake na michepuko kibao? na huyu alikuwa hand picked by God. so mwanaume tamaa ya kuonja mbunye tofauti tofauti and mind u zinatofautiana ladha ipo pale pale
 
Mkuu sijaelewa vizur kama huyo ni mke rasmi au laa, lakini inasemwa ukiona wake wenza wanapendana basi fahamu kuna mambo wanashirikiana vizur tu na wanaenda sawa

Sikutishi lakini wanaweza hata kufichiana siri za kuchepuka
soma coments zangu zote humu utaelewa. Kufichiana siri lazma wafichiane ila kwangu mim cjawahi kuwaza kama kuna jingne nyuma ya pazia. Mfano mda mwingi wapo wanajishughulisha na viduka vyao hadi mda wakutoka kama ni mzgo nawaletea mwenyewe kila nkitoka kazini hata wakichepuka bado itabaki vile vile sio sabuni ati itaisha.
 
Mkuu sijaelewa vizur kama huyo ni mke rasmi au laa, lakini inasemwa ukiona wake wenza wanapendana basi fahamu kuna mambo wanashirikiana vizur tu na wanaenda sawa
Kwahiyo wakiwa na Ushirikiano mzuri sio vizur tena ?
Sikutishi lakini wanaweza hata kufichiana siri za kuchepuka
Heh sidhani aisee
 
jiulize mbona mtiwa mafutamfalme sulema alikuwa na wake na michepuko kibao? na huyu alikuwa hand picked by God. so mwanaume tamaa ya kuonja mbunye tofauti tofauti and mind u zinatofautiana ladha ipo pale pale
Hii ya ladha hivi ni kweli?
 
Safii sio subuni ile kusema itaisha🔥
 
Kwahiyo wakiwa na Ushirikiano mzuri sio vizur tena ?

Heh sidhani aisee
Uzoefu unaonyesha hivyo,kikawaida wake wenza hawawezi kuiva moja kwa moja ,ingawa usoni wanaweza kupretend hivyo lakini wivu huwa upo tu,sasa ukiona kuna mapenzi kindaki kindaki mmh inatia mashaka

Juzi kati mfanyakazi wetu mmja kamrusha bimdogo status what's app huo ugomvi wake sio poa
 
Mhm huenda sifahamu kuhusu hili ila kuna ukweli hapa ku share dudu sio jambo jepesi
Juzi kati mfanyakazi wetu mmja kamrusha bimdogo status what's app huo ugomvi wake sio poa
Na yeye si ange m hide bi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…