Utanipenda tu
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 119
- 254
Yeah nina experience hiyo so I know wat it is when it comes to loneliness, lkn yalishapita hayo ni long time sana,na yalinipelekea kucheatUna experience mbona kama unaongea kwa uchungu😎
Yaan m ki match inakua hot 🔥
Dah pole sana kwa bad story 😢Yeah nina experience hiyo so I know wat it is when it comes to loneliness, lkn yalishapita hayo ni long time sana,na yalinipelekea kucheat
Kwakweli malovee nayo ya ki match inakua 👌Yap mkimatch mbona dunia mnaiona ni yenu na wakazi wengine mnaona kama wamewavamia kwenye anga zenu😂😂
Ntakushtua tu wala usiwaze napenda nyuzi zako unajua kuwa engage watu,ndio maana nimekufollowSawa ukibadili nishtue Mr fekero
So ukitaka kuzungumzia mambo ya malovee una switch kwenye hili fekero la utanipenda tu🤣🤣 ila JF
Kumbafuuuuu🤣🤣🤣
Nimeona follow haya karibu kwenye jamvi la mada zangu🔥🔥Ntakushtua tu wala usiwaze napenda nyuzi zako unajua kuwa engage watu,ndio maana nimekufollow
Ni ning'oneze I'd yako ya kwanza nitatunza siri 😊Hapana sio kwa mapenzi tu laa,ila hata mambo mengine huwa nakuwa huru sana kujichanganya,unajua baadhi yetu tuna I'd ambazo kama vile hazizoeleki au sijue nisema zipo serious kwahiyo kuna mambo ukijadili ndio ile huyu nae siku hizi kajitoa lock nini😂😂
Asante sana,Yap now kila siku ni kama sikukuuDah pole sana kwa bad story 😢
Yalishapita now ni kufurahia wakati uliopo
Kwakweli malovee nayo ya ki match inakua 👌
Safiiiiii🔥🔥🔥Asante sana,Yap now kila siku ni kama sikukuu
Inakuwa fire sana
Ndio nimeisoma 🔥🔥ShesRise_1 hope umenisoma au sio
Asante sanaNimeona follow haya karibu kwenye jamvi la mada zangu🔥🔥
Nimefuta hapa chap,baada ya kuona umeijua,hongera kwa kuijua codeUtanipenda tu nimeshaelewa code 🔥🔥 I can't believe yoo🫡
Futa hiyo code hapa na kule
Mtu asiunge dots
We noma 😅😅Nimefuta hapa chap,baada ya kuona umeijua,hongera kwa kuijua code
Yeah it's me bwana 😂😂
Yes fanya hivyoShesRise_1 let me go there nikafute code kama ulivyonishauri
Mambo ya Malovee 😊
Sometimes watu walio penzini au kwenye ndoa hujikuta tu kwenye mtego wa cheating
Wengine huja na visingizio au sababu mbalimbali
Mwingine anasema, Sipewi hata nikiomba kwa chozi
😀 Basi anajikuta amecheat
Mwingine anasema, Mume haniridhishi
Akipiga kimoja cha kuku, anakoroma mpaka asubuhi🙄
Mwingine anasema,
Nilitaka kupata experience
Kuna rafiki yangu aliolewa akiwa bikra
Kadiri alivyokuwa akikaa na kusikia wanawake wakihadithiana mambo ya jigijigi, na ukizingatia mume alikuwa na maudhi, akaamua kutaka kupata experience huko nje
Japo anasema hakuna furaha yoyote aliyopata zaidi ya kujutia tu
Sasa wewe unadhani cheating inasaidia au inabomoa kabisa pale penye ufa?
Nini kilikufanya uka-cheat?
Unajutia?
Umeacha au bado unaendelea?
Huwa hujisikii vibaya ukimcheat wa ubani?
-Au hujawahi kabisa?
Friday night 🤗
ShesRise_1 ✋️
Sio kivileeeeWe una UKIMWI
Na wewe ali ku cheat?Kulipa kisasi
Hii ni maajabuSio kivileeee
Baadhi ya wa dada na wa mama ✅️Wadada na wamama waliopo kwenye ndoa Wana cheat kwa sababu ya tamaa ya kupatiwa Pesa akalipe vikoba.
Aloo kashesheUtakuta mdada mrembo yupo benki kaolewa na ana Mume, akichungulia akaunti ya mteja imenona anaamua kucheat tu ili apate sasamba
Waume wao hawapati ukimwi?Wadada na wamama wengine Wana cheat kwa sababu ya tamaa za mwili za kutoa upwiru lakini mwishowe huwa wanajutia maana wengine wanatoka na UKIMWI
Hii mbaya walidhisheni basiMwisho, wadada na wamama waliopo kwenye ndoa Wana cheat kwa sababu ya kutokuridhishwa kimapenzi na Wanaume zao, hivyo anaamua kucheat
SawaImeandikwa ishi nao kwa akili