Why do women cheat...

When times come hutahisi kama unadanganywa....ndo maana Julius kasema it depend on your decision if u want relationship or not na kama unataka kua na raha just trust your man/woman!!

haya wacha nisubiri wee nione kama muda utafika (nahisi unanitupa mkono)
 
 
Asante sana FL1 kwa somo zuri.Ngoja nijitahidi niprint nibandike Ofisini kwetu ili wanaume na wanawake wasome na kuyafanyia kazi.
 
One man, doing all those things to satisfy a woman, whom despite of those, can continue with that behavior, ni shida kwelikweli!

Its better to have a man who cheats than a woman!

Bible pia inasema ni Bora Mwanamke MCHAWI kuliko MWONGO!

Hakuna nafuu PJ kucheat ni kucheat tu ..thi unajua hakuna dhambi ndogo
 
Wapendwa endeleeni naumwa kichwa mie ngoja nikapumzike kidogo ...
 


Ndio maana katika mfumo dume mwanamke akicheat in most cases ataambulia talaka tu.

 
Kwa hiyo utatuzi wa hili tatizo ni nini?
Kwanza tujue asilimia kubwa ni ipi kucheat kunatokana na hulka ya mtu au kunatokana na external force kama izo zilizotajwa then tujue tuanza kudeal na ipi first!
 
....because they can do so with or without repercussion!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…