yeeah,, kwen kanisa letu, askofu ni baba..mchungaji, na hatuna utamaduni wa kuwa nahata mapadre wanawake sembuse maaskofu
So nimezoea heshima yake full ni BABA askofu!
weitaaaaaaaaa
Binamu!
Hawezi kuwa Babu au Anko? Lazima awe baba tu?
Umezidi uoga waogopa hata kichwa tu jamani?
Hawezi kuwa Babu au Anko? Lazima awe baba tu?
si ndio am here!!!
ulikimbia mpaka nikaenda kumtafuta baba askafu aje asaidie hapa!!!
and you???????????????????
Hivi Askofu ni lazima awe BABA?
kumbe niogope nini wakati kichwa ndo kina ulimi wenye kutema sumu??
kumbe niogope nini wakati kichwa ndo kina ulimi wenye kutema sumu??
he binamu! u never know na mi nilikuwa namkimbiza kuku aloyetokea gafla hapa..amenipiga chenga sana
Kichwa cha weza kuwa ni cha joka la Kibisa hakuna sumu!
he binamu! u never know na mi nilikuwa namkimbiza kuku aloyetokea gafla hapa..amenipiga chenga sana
Thought you were in bed Mamushka! LOL!
Mkuu... haya ni ma-insinuesheni....
si ndio am here!!!
ulikimbia mpaka nikaenda kumtafuta baba askafu aje asaidie hapa!!!
no way mamushka will rather die walking than in bed!!! BTW biggy I was not supposed to be talking to you si bado nimenuna??!!
Kichwa cha weza kuwa ni cha joka la Kibisa hakuna sumu!
He! Hata mwezi haujapita ushaharibikiwa kichwani namna hii?
Ngoja nianze kazi upya!
Hahaha! Kiongozi nimeona juhudi zako za kulikomboa jimbo! Unayo kura yangu!
Hehehe! Ngoja nimkontakti blurei! Mi babu yangu ni askofu. So nilimshangaa jamaa alijuaje kama wewe ni baba na wala si babu wala ankal.
Aahhhhhhhhh!!!🙁
Xpin angalia nimekugongea nini!