Why do we repeat generational cycles, from time to time!

Kwa lugha nyingine jiondoe kabisa kwenye cycle kama unaona haikufai na mtoto atafuatilia maamuzi yako tangu akiwa mdogo na ataamua then cycle itavunjika...
Hapa naona tumeelewana kwa hio lazima cycle ife kabisa ndio ije cycle nyingine ambayo inajitegemea sio cycle tegemezi inayotegemea cycle iliyopita kila kitu yaan maamuzi, makatazo, makaripio, nk inategemea cycle iliyopita na bad enough ni kwamba kukiwa na cycle za namna hio yaan hazitegemei cycle zilipokuepo hapo kabla tutashuhudia vizazi vya ajabu ajabu kuwahi kutokea
 
nipe Notion ya mtoto wa Miaka 5 (kipindi ambacho huwa mtoto anafuata mazingira na mafundisho na anayahifadhi kichwani kuliko wakati wote) utaweza kumfundisha kufuata na kusoma Uhindu
Mkuu suala hapa ni kuifanya cycle yako isirithiwe kwenye cycle inayofuata au sio hivyo? Yaan kuhahakisha cycle yako haiendelei kuwepo how to break the cycle? Si ndio hivyo sasa ili cycle ife hutakiwi kuhamisha ya kwako kupeleka kwenye generation mpya iache generation mpya ijenge cycle mpya sio yako wewe hutaki cycle yako iendelee kujengwa unataka kuibomoa si ndio?
 
sasa niambie cycle ya Umaskini inavunjwa Vipi?
 
Tukumbuke pia hii cycle inaweza ku skip hata vizazi viwili,ikaja kutokea kizazi cha tatu...maana hii iko carried kwenye DNA.
 
sasa niambie cycle ya Umaskini inavunjwa Vipi?
Good, cycle ya umasikini nitakueleza kwa ufupi sana kwa sababu jibu la hili swali ni fupi sana, cycle ya umasikini unapo uzungumzia umasikini upo wa aina ina nyingi sana ila wengi wanauona zaidi umasikini wa kipato na kutokua na utajiri wa mali zinazo hamishika,

Sasa cycle ya namna hii unaivunja kwa namna rahisi sana namna hio sio nyingine yoyote ila muache mtoto wako muache mtoto wako, wewe si unaishi maisha ya kimasikini si ndio na hutaki cycle yako iende kuishi maisha ya kimasikini km maisha unayoyaishi wewe, muache mwanao ambae new generation yaan kizazi chako -atafute mwenyewe au afuate mwenyewe sio kwa kulazikishwa au kushikiwa fimbo kukaripiwa na vingine afuate na atafute mbinu za utajiri kwa namna yake yeye sio kwa namna yako na hio ndio cycle yake sio cycle yako, shida ni hio hapo hapo utakua umeiua cycle yako ya umasikini na utakua umeanzisha (sio umeitengeneza) cycle mpya ya utajiri
 
Hapo hujaua cycle mkuu maana yake maisha yake yote atakuwa akitafuta ataoa na atendelea kutafuta kama ulivyokuwa ukitafuta wewe atazaa watoto nao pia wataendelea kutafuta kama alivokuwa anatafuta baba yao then the cycle conti... 😀😀
kwa sababu hata baba yake pia alikuwa anatafuta
 
Mkuu naona hatuelewani hivi nitumie mbinu gani kukuelewesha nimekwambia wewe hutakiwi kua director wake muache sasa wewe unataka kusemaje yaan unazungumzia kwamba kuna tajiri ambae analala tu kitandani utajiri unaingia? Yaan unataka kusema matajiri hawafanyi kazi? Sijakuelewa unamaanisha nini, umesema mwanao hutaki awe masikini muache atoke kwenye umasikini mwenyewe.

Sasa hauelewi nini hapo?. Ukiendelea kumshikilia ataendelea kubakia kwenye umasikini ulionao wewe yaan atabakia kua km wewe ulivyo. Muache atoke nje ya huo umasikini wako ulionao aende nje huko na huo umasikini ulionao akautafute utajiri kwa mbinu na namna yake yeye sio namna yako wewe na hio ndio cycle yake sio ya kwako, huelewi nini hapo?. Na hapo ndio utakua ume-break the cycle.
 
Nipo mchungaji Ice berge
Asante kwa ujumbe wa maana huu❤️
 
How does it start with me or what should I do
 
Muongozo wa yoga na meditation naweza kuutoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…