theLaikwanani
Member
- Oct 13, 2017
- 14
- 16
iyo inategemea kama ni issue ya kutravel nje ya nchi hata Kenya passport ni lazima kulingana na nature ya kazi sehemu zingine passport inakuwaga option tu kama vilivyo vitambulisho vinavyotambuliwakwa wasiopenda uongo pia huwa hicho ni kikwazo.
cha ajabu unakuta sehemu nyingi vitu vya kuambatanisha na passport inawekwa utadhani nayo ni kama cheti cha kuzaliwa. hii utaikuta kwenye matangazo ya kazi,form mbali mbali etc.
ngoja waje wataalam wa mambo haya watoe uzoefu na sababu wenda kuna sababu ya msingi.
uyu ni zwazwa tu coz kuulizwa reason of that it's not a crime that ur not qualified
simple unajaza tu I hav friends, relative's, gilfrend/boyfriend outside Nina plan yakuwatembelea in future over
THOSE A JUST CHALLENGING QN as they don't ask any prove for that sasa jipanikishe uitwe mkimbizi
iyo inategemea kama ni issue ya kutravel nje ya nchi hata Kenya passport ni lazima kulingana na nature ya kazi sehemu zingine passport inakuwaga option tu kama vilivyo vitambulisho vinavyotambuliwa
labda upite hapa unaweza kunielewa tukiachana na matangazo ya kazi ambayo yapo hadi yakutafuta mlinzi lkn viambatanisho japo sio mandatory lkn hiyo passport huwekwa.iyo inategemea kama ni issue ya kutravel nje ya nchi hata Kenya passport ni lazima kulingana na nature ya kazi sehemu zingine passport inakuwaga option tu kama vilivyo vitambulisho vinavyotambuliwa
Poor governace!
Poor you! haiko hivyo. kwa tz kupata passport ni issue sana. kuwa na passport ni haki ya kila mtz, so hizo bureaucracy hazisaidii kitu ni kudumisha umaskini tu. inafaa ministry of home affair wakuje na reforms specifically on travel documents.uyu ni zwazwa tu coz kuulizwa reason of that it's not a crime that ur not qualified
simple unajaza tu I hav friends, relative's, gilfrend/boyfriend outside Nina plan yakuwatembelea in future over
THOSE A JUST CHALLENGING QN as they don't ask any prove for that sasa jipanikishe uitwe mkimbizi
pole sana mkuu. mimi napata shida kurudi home ku-renew. ubalozi wa huku ni kama nyani dume(dharau mingi) na hawana msaada wowote. nawaza kuachana na passport ya tz coz napata shida sana ku-renew kwani wanaanza maswali yao ya kijinga eti "wewe ni mtanzania kweli"! inatia hasira sana na inakeraOnly in Tz. Nilienda kuchoma yellow fever wakataka nithibitishe kwamba nasafiri. Nikawajibu sikuwa na safari but just kujiweka fit kiafya wakanikatalia. Nilipowauliza kwanini nikajibiwa hizo chanjo ni adimu sana. As simple as that. Inawezekana hata passport vitabu ni vichache.
wapenda shortcut utawajua tu watu wew unajua sheria hairuhusu kurenew passport outside of ur origin country lazima urudi otherwise badilisha upewe ya nchi nyingine
nyie mnaosema beucracy ivi kwa akili ya kawaida kwa nchi kama izi zetu mtu huna hata adress hujulikani ni MTZ, Mkenya, mganda, mnyarwanda, mkongo eti beurocracy isiwepo the problem kubwa tumezoea kutoa rushwa na wengi hawapelekagi documents zinazohitajika ndo maana mnasumbuliwa
Aliyekuambia ukitaka kurenew passport lazima urudi nchini mwako ni nani?Unajua kazi mojawapo ya balozi zetu nje ya nchi? Mimi nimerenew passport mara mbili nikiwa nje kwenye ubalozi.Mambo mengine siyo lazima mchangie.wapenda shortcut utawajua tu watu wew unajua sheria hairuhusu kurenew passport outside of ur origin country lazima urudi otherwise badilisha upewe ya nchi nyingine
nyie mnaosema beucracy ivi kwa akili ya kawaida kwa nchi kama izi zetu mtu huna hata adress hujulikani ni MTZ, Mkenya, mganda, mnyarwanda, mkongo eti beurocracy isiwepo the problem kubwa tumezoea kutoa rushwa na wengi hawapelekagi documents zinazohitajika ndo maana mnasumbuliwa
Ungekuwa unajua hizo chanjo zooote zina madhara gani mwilini wala usingekimbilia kutafuta chanjo ya aina yyteOnly in Tz. Nilienda kuchoma yellow fever wakataka nithibitishe kwamba nasafiri. Nikawajibu sikuwa na safari but just kujiweka fit kiafya wakanikatalia. Nilipowauliza kwanini nikajibiwa hizo chanjo ni adimu sana. As simple as that. Inawezekana hata passport vitabu ni vichache.
That happen to my Friend.....He planned to have the Passport for further use.......but he failed to gate it because of that QN.............Eheeeeeeeeeeeeeeee na mimi leo nimeongea ''KIDHUNGU''.....................!!!!A friend of mine from Tanzania wanted to get a passport just to have it in case she wants to travel outside Tanzania and they wanted her to submit a proof that she is in fact has such trip.
Isn't passport a right for any Tanzanian? Why do Tanzanians need a proof or show that they need the passport for planned trip outside the country?
Thank you