miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,152
So touchingI love kissing....
And when am in, every activity in my body stop except breathing and touching.
The first day i kiss him.... my hand auto moves to his lap near his P, I dont know what happens we stop.
To me kissing is more than making love, I love it.
Yon need a kiss!!!Hahahaahhahahaahahahahaha nimeamua nini
Best?? Ni weekend ujue afu Kanda ya ziwa mvua zimeanza kama usiku wa Leo mpaka saivi hali ya hewa si rafiki kabisaaa
C ndio maana nkaamua kunaniiihata kidogooo....!!!
Tushachoka na hio Tanzania ya viwanda Tanzania ya viwanda.. Hii Tanzania ya elnino na economic crisis. Pesa hazipatikani wananchi wanakufa njaa unatuambia viwanda huh!! Solve the urgent problems others will followWanafunga macho kwa sababu wanaogopa na wanajua wanachofanya ni against God's will!! Refer kipindi adam na eve walipojificha baada ya kugundua wamekosea!!
Wengine wanafunga kwa sababu wanaogopa kushuhudia kosa wanalofanya!!
BTW kwa mtindo huu wa kuwaza kiss asubuhi hii TANZANIA YA VIWANDA SI ITABAKI KUWA WIMBO WA WANASIASA???
Upo darasa la ngapi?But why??
Boobs zimekushawishi kwenda kumkiss sio??? Khakhaakhaa
naona thread mbilimbiliHahahaahhahahaahahahahaha nimeamua nini
Best?? Ni weekend ujue afu Kanda ya ziwa mvua zimeanza kama usiku wa Leo mpaka saivi hali ya hewa si rafiki kabisaaa
Sema kwako wewe hayapo hayo na bila shaka ipo namna si bure.. Wazee tu wanakiss iweje wewe kijana?!Mipicha yoote sikuona ngozi nyeusi ila hao wanyamweri tu. Lakini swali kauliza mmatumbi si ajabu hii?? Mbona sijaona jibu la mnyamweri hata mmoja wanaokissiana?? Kwetu hayako haya na kama kunayo endeleeni ku copi na ku pesitiii
Sasa si utapagawa kiss boobs huku unabambia can you imagine?!
Umemjibu sawia
Sema kwako wewe hayapo hayo na bila shaka ipo namna si bure..
But why??