Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,586
- 50,684
Sipendi that's why napambana sana ili mwisho wa siku niwe baba bora kwa wanangu.
Bora upambane kuwa baba bora kwa wanao kuliko kupambana kumridhisha binadamu mwingine ambae hata akiachana na wewe hana cha kupoteza