Why do most girls or women want to settle with a ready made man?

tafuta tu pesa utuoe
Mkuu wewe ni wife material sana Mkuu.

Sababu unajua kumtia mtu moyo sana kutafuta kitu cha muhimu katika maisha yote ya binadamu.

Weekend hii mkuu, nakukaribisha popote unapopataka kwa leo nitakupeleka!
 
asante rafiki .. leo leo ngojaa twende tukale kuku wa kuchoma kule kule
 
Ahahaaa hata maandiko yamesema mwanaume atafanya kazi kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu.

So ni kazi ya mwanaume kumlea mwanamke tangu mwanzo. Sema wanaume wengine ndo wanayakimbia majukumu na kua marioo
Sawa Mkuu!
Nimekupata
 
tafuta tu pesa utuoe
Nachojua ni hiki kwamba mwnaaume anaejielewa anamuomba Mungu na anajishuhulisha na chochote ambacho kitamsaidia yeye mkewe na watoto, pamoja na mahitaji ya msingi ya familia.
Lakini kama kuna mind set kwamba mtu utafute hela just tu kwa ajil ya kumpa mwanamke ili umridhishe aise kwa mwanaume anaejielewa hio haipo.
 
na mwanamke mwenye akili inabidi aombe Mungu sana apate mwanaume wa hivyo hapo nilipo bold ..
 
Sawa!

lakini vitu vizuri vinagharama sana Mkuu.

Kuna wadada fulani niliwashuhudia ulikuwa ukienda kuwachumbia wanakuuliza una vigezo gani? Na kitu gani kimekupa ujasiri wa kuja kunichumbia?
Wao walikuwa wanataka wanaume wenye funguo tatu;

•Funguo ya nyumba
•Funguo ya gari.
•Funguo ya ofsini

Walikuwa wanaringia uzuri wao lakini mpaka sasa hivi wapo nyumbani wanasaka wanaume hatari na wapo kutoa mahari wenyewe.

Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom