Why do most girls or women want to settle with a ready made man?

Nachojua ni hiki kwamba mwnaaume anaejielewa anamuomba Mungu na anajishuhulisha na chochote ambacho kitamsaidia yeye mkewe na watoto, pamoja na mahitaji ya msingi ya familia.
Lakini kama kuna mind set kwamba mtu utafute hela just tu kwa ajil ya kumpa mwanamke ili umridhishe aise kwa mwanaume anaejielewa hio haipo.
Exactly brother!

Siku zote huwa napambana ili watoto wangu waje waishi maisha mazuri na siyo kama niliyopitia mimi!
 
inatokea tu by coincdence...nimefall kwa jamaa hana kituvthn tunaunga nguvu hadi maisha bora tunayafikia...or nimefall kwa mwanaume bila kujua namkuta kashasettle down...

hao wanaochagua mwenye mali na kukataa asie na mali ni hilka zao tu..tabia zao
Nice comment!

Nimekubali.

Uendelee hivyo hivyo Mkuu!
 
Ila sema nyie wanaume huwa mnamwendea mwanamke kwa nia kumtafuna bhana..ahaaaa
Siwezi kupinga ingawa siyo wote..chakorii

Kuna wengine unakuta tuna nia nzuri tu.

Pia unaweza kwenda kwa nia ya kutafuna ila mwisho wa siku unazama mazima.
 
Sio kweli mim hapa nina mahusiano na mdada ana kazi tayari na ana gari lake la kutembelea lakn celew n kwann kila nikijtahd kumkwepa yupo na mim tu na anampango tuoane ila mim cna kazi, sio wadada wte wanaotaka man made
Nakupa heko Mkuu.

Mkamate kwa mikono yote usimuache aende zake
 
Bora upambane kuwa baba bora kwa wanao kuliko kupambana kumridhisha binadamu mwingine ambae hata akiachana na wewe hana cha kupoteza
Yeap!

Ingawa katika kuandaa kupambana lazima umfanye nae aonekane ni mwanamke anayependwa!
Bora upambane kuwa baba bora kwa wanao kuliko kupambana kumridhisha binadamu mwingine ambae hata akiachana na wewe hana cha kupoteza
 
Back
Top Bottom