Why do most girls or women want to settle with a ready made man?

inatokea tu by coincdence...nimefall kwa jamaa hana kituvthn tunaunga nguvu hadi maisha bora tunayafikia...or nimefall kwa mwanaume bila kujua namkuta kashasettle down...

hao wanaochagua mwenye mali na kukataa asie na mali ni hilka zao tu..tabia zao
Asantee wew ni mwafrika halisi hujaathiriwa na uzungu ingefaa uishi kipindi cha babu zetu
 
Hamna mtu msumbufu kama mwanaume asiye na kitu, kitu kidogo tu cha kawaida anasema ni kwa sababu sina hela! Hata asipokuambia ila moyoni anajisemea. Pia wengi mtapata shida wote akipata chochote anatumia madhaifu yako ma hache anakuacha. Kiufupi hawajiamini ukiwa naye kuachana ni 98% mkipata matajiri komaeni maana unatukanwa umeshiba kuliko kibuti cha masikini kinauma maana hujafaidi penzi wala chochote. Za kuambiwa changanya na zako.
 
Kuna kitu wa siku hizi wamekosa kiakili.Wengine unakuta kwao hata mkeka wa kukalia kwao hawana,lakini anahitaji mwenye gari na pesa,cha ajabu wengine hata kukumbuka wazazi wao huko watokako,maswala ya hali ya kiuchumi waliyo nayo,halipo kabisa.Mi nasemaga wa aina hii wamelaniwa.
Wengine wengi,wanapenda mtelemko tu. Na ndo maana utakuta ameolewa lakini mizinga kwa watu wengine haiishi,sababu,halidhiki na alichonacho,hataki kujishughulisha.

Viumbe hawa,hasa wale wasiojielewa na kujitambua,atakwmbia kwamba hasumbuki,yupo anaemhangaikia.Hivi,huyo mwanaume siku akifa,utakuwa mgeni wa nani kwa azoea ya wizi huu? Ndo unaanza uchangu na kutelekeza familia(maana akifirisika kumuacha ni kugusa tu hilo siliongelei).
Nina jirani mmoja,mwanamke namshangaaga sana,sawa,kweli kajaliwa figa,lakini anaishi maisha ya kuungaunga. Anafanya kazi mapokezi hotelini.Lakini ukisikia kapanda ndege yuko Nairobi,yuko wapi,yeye atakwmabia bus hawezi kupanda.Lakini mbona akiwa home anawasha jiko la mkaa wala si gas? Sababu,wanahaha kutafuta maisha yasiyo level yao,ila Mungu ni wa ajabu,aliwpaiga fimbo kabla hawajazaliwa.Wanakuwa kama sabuni,baada ya mda wanachakaa ile mbaya,na kurudi kutafuta mashosti wa kukaa nao,ambao enzi hizo hawakuwa na mvuto,walihangaika kutafuta hela yao
Umeongea ukweli mtupu Mkuu.
Wachache ndiyo wataelewa!
 
Wanaume mungu anawaonaa
Unakuta mwanamke kaanza maisha na mwanaume hana kitu. Lkn dada wa watu kampenda hivyohivyo..
Mwanamke atajitoa kweli,atamsapoti mumewe kwa hali na mali... After few years may be ten years matunda yanaanza kuonekana..mambo yanakuwa mazuri.

Badala wafurahie matunda kwa pamojaa. Ndo kwanza mwanaume anaenda kuoa au kutafuta mchepuko kigolii.
Mwanamke ulosota utaambiwa umezeeka huna jipya na ukizingatia labda ulizaa watoto kazaa... Ukawa bize kujenga familia.. Matunda yakianza kuonekana mwanaume anatafuta binti mbichi

Ushauri wangu wadada tafuteni wenye pesa zao... Hata mkianza nao maisha mkifanikiwa hawakawii kubadilikaa
 
Hamna mtu msumbufu kama mwanaume asiye na kitu, kitu kidogo tu cha kawaida anasema ni kwa sababu sina hela! Hata asipokuambia ila moyoni anajisemea. Pia wengi mtapata shida wote akipata chochote anatumia madhaifu yako ma hache anakuacha. Kiufupi hawajiamini ukiwa naye kuachana ni 98% mkipata matajiri komaeni maana unatukanwa umeshiba kuliko kibuti cha masikini kinauma maana hujafaidi penzi wala chochote. Za kuambiwa changanya na zako.
Duuhhh
 
Back
Top Bottom