Why do men lie especially in relationships?

Utamjujae mtu kama anaishi na yesu ndani yake
Nisikuchoshe soma hapa👇
Yohana 8
12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.

Kwa kifupi huwezi kuijua fake(uongo) kama original(kweli) huijui.
Nakushauri uactivate macho yako ya Rohoni ili uweze kuyaona mabaya kabla hayajakupata!. Hii dunia sio salama kabisa bila kuwa ndani ya Kristo Yesu(Nina ushuhuda mwingi sana kuhusu hili)
 
Mwanamke ukimwambia ukweli hawez akakuelewa so kudanganya inatufanya Tu win our game
 
stori yako ime~base upande mmoja, wanawake pia wanadanganya sana tu na visa ni vingi pia...

anyway, uongo hupunguza mapenzi katika mahusiano, lakini
ukweli hufanya ukose kabisa

Nje ya mada, umeamkaje laaziz...
 
Mbali na kubase upande mmoja ila hata wew ukweli unaujua ndani ya moyo wako kwanini mdanganye watu?

Mfano mzuri ni wew kuniita laazizi na mpenz wako halijui hilo
 
Mbali na kubase upande mmoja ila hata wew ukweli unaujua ndani ya moyo wako kwanini mdanganye watu?

Mfano mzuri ni wew kuniita laazizi na mpenz wako halijui hilo
wewe ni mwanamke ndo maana unaona mapungufu ya kiumeni tu, na wanaume nao tunaona wanawake ni waongo kupitiliza

Mpenzi wangu nimemshirikisha, anajua jf nina mpenzi pia, na amefurahi sana.. just relax mama
 
Mi sijaona mapungufu ya kiumeni pekeake ila nimetoa visa vichache hapo juu na mada yangu ikawa imejikita hapo huko kwingine Mimi sijafika
 
Jipakulie

Your browser is not able to display this video.
 
Wanawake wanaishi kwenye ulimwengu wa fantasy. Ili kuwa-win ni lazima uwe mjuzi wa kuwaambia uongo unaowafurahisha. Unafikiri kwanini feminism ina nguvu kwa wanawake? Kwa sababu inawauzia fantasy ya vile mambo yanavyotakiwa kuwa, sio uhalisia wa mambo jinsi ulivyo. Women are hardly understand or accept the truth. You cannot entirely walk your way through with women if all you tell them is truth.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…