Why do men lie especially in relationships?

Huwa nawaambia mabinti kila nipatapo nafasi kwamba "olewa na Mwanaume ambaye hajampokea Yesu at your own risk".

Yesu ndiye pekee anayeweza kumshape Mwanaume kuwa fruitful yeye na uzao wake, vinginevyo ni kilio na kusaga meno!

Nisisitize tu kwamba Yesu hana mbadala,asiyejifunza kwa kusikia atajifunza thamani yake kwa kuona!

Ukiamua kuwa na Mwanaume wa mwilini(asiye ndani ya Kristo Yesu) jiandae kwa lolote.

Huwa mnajifariji bure kuweka matarajio makubwa kwa mtu wa mwilini. Mtu anayeishi kwa kufuata tamaa za mwili ambazo kamwe haziwezi kushiba!)
 
Utamjujae mtu kama anaishi na yesu ndani yake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…