Why Do Men Change After Marriage?

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,328
Most men become less caring and a little more aggressive after marriage. Infact, some become extremely violent.
I think the new constitution should enforce compulsory psychiatric evaluation for couples intending to marry.
 
Reactions: SMU
Hahaaa, Hii ni issue ya kuchukulia kitu for granted. Be it a man/woman, work, you name it. Yes you are for life, Be thankful and live each day like there is no tommorow and learn not to take things for granted.

If you take anything for granted, why should you care, cause if you care or not, still its there.
 
Haya ni matokeo ya utafiti au ni nadharia tu
 
"Wakati ua linapoanza kuchanua linaongezewa maji, likishaanza kunyauka linasitishiwa maji"......The same in MAPENZI, pia ni jinsia zote zinakumbwa na hili tatizo
 
Mwanamke kabla hujaoa huwa mnyenyekevu sana na baada ya ndoa koz mnaspend muda mwingi pamoja unakuja gundua umeoa matatizo basi hustle za kucheki solution zinaanza.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Most men become less caring and a little more aggressive after marriage. Infact, some become extremely violent.
I think the new constitution should enforce compulsory psychiatric evaluation for couples intending to marry.

Huwa hawana maandalizi na too much expectations ambazo wanakuta ni tofauti
 
Hahaa, Matatizo mengi huanzia vichwani mwetu kwa namna tunavyoyachukulia na kuyatatua pia. unaposema mtu umeoa tatizo, umejuaje kama wewe sio tatizo pia?????

Mwanamke kabla hujaoa huwa mnyenyekevu sana na baada ya ndoa koz mnaspend muda mwingi pamoja unakuja gundua umeoa matatizo basi hustle za kucheki solution zinaanza.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Most men become less caring and a little more aggressive after marriage. Infact, some become extremely violent.
I think the new constitution should enforce compulsory psychiatric evaluation for couples intending to marry.

I think most couples carry around wrong notions of 'work is done, its over!!' immediately after marrying...to the contrary, i think 'work' begins when you marry...couples need to work on their relationships for them to survive and thrive..meaning sacrifices and compromises from each one...if there is none..there is only falling apart!
 
Mwanamke kabla hujaoa huwa mnyenyekevu sana na baada ya ndoa koz mnaspend muda mwingi pamoja unakuja gundua umeoa matatizo basi hustle za kucheki solution zinaanza.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk

The same to men!!!, huwa wanyenyekevu,wanabembeleza,wanacare, n.k n.k

Samaki akishavuliwa hapewi tena chambo teh! teh!
 
Kweli kabisa, most men... around 70% are careless soon after marriage say a year onwards of living together....

Yaani inauma saaana during that unakuta mwanamke tayari ana kuwa anampenda sana mume wake, kwa bahati mbaya mume anaonyesha all negative behaviours, through body language, words, no zawadi, hakuna kumtoa mke wake, hata kubadilisha mawazo mume anajifanya bizeeeeee.....!!!

... Hasa mara baada ya kujifungua mambo huanza...!!!
 
Binadamu tunaasili ya kutoonyesha rangi zetu zote kwa watu, mnapokuwa hamuishi pamoja ni vigumu kuzijua rangi zote za mwenza wako, mtakapoanza kuishi pamoja hapo kila mtu ataziona rangi halisi za mwenza wake, kasheshe la ndoa ndiyo huanzia hapo. Kama tungekuwa tunaonyesha rangi zetu halisi kabla ya ndoa 95% ya ndoa zisingekuwepo.
 
I think the question is: What has made the other side change? Once we know this we can come up with some solutions.
 
Sasa kuna wale ambao wamekaa pamoja kwa kitambo bila ya ndoa (na hata wamefanikiwa watoto) halafu wanaamua kupasha kiporo ('kubariki ndoa'). hawa nao inatokea situation kama hiyo?
 
The question of care not existing after marriage is just a matter of perception and expectations. Most of the individuals running for marriage they think that, after marriage they transfer or move from one world to completely a new world something which is not the case.
 
That's why wenzetu wazungu wanamove in together before marriage kuona if its going to work or not(mimi nasupport Sana hiyo kitu)
people tends to fake a lot before marriage they jus pretend to be sumthing they not,
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…