Ngoja nijifirie ntakupm namba yanguKama bado unampenda mtafute umueleze, myamalize muanzae upya na Mungu atawabariki. Ukishindwa wewe mwenyewe nipo tayari kumfikishia ujumbe au kufanya upelelezi kujua kama nayeye huwa anakuwazia au la ili uchukue hatua kabla giza halijaingia. Hakuna kitu kizuri kwa watoto kama kulelewa na wazazi wote wawili na kuonyeshwa upendo kutoka kwa wazazi.
Pole sanaNaumia sana nkikumbuka zama zetu, natafuta kiki ya kurudi, huyo mtoto wetu ananipain zaidi ya maelezo, ntaku-sms nkiweka vocha!
WalaaaHili suala la 'damu yake' au 'damu yangu' huwa silielewi.
Ni wapi wamechanganya hizo damu? Owkay, hata kama wamechanganya, mtu anawezaje kumkataa mtoto afu akamrefer as 'damu yake'
Huyu dada anapitia 'relapse' ya break up tu, labda hajakunwa siku nyingi, ule upweke unafanya akumbuke anachokijua.
It may likely be a manifestation from the Stockholm Syndrome.
Pata ushauri nasaha
Ni kwa nini iko ivyo?
Nothing at all i have kila kitu he is just moyoniWeakness yako iko kichwani zaidi, yaani ale ujana huko weee afu akichoka ndio akurudie wewe unamsubiri tu?
Umepungukiwa nini kwani, as a woman?
Sio rahisi
Umenena. Lakini pia akimpata mwingine wa mapenzi ya kweli anaweza ajute kwa nini alipoteza muda wake kwa huyotrust me, utamsahau kimapenzi, ila sababu mna mtoto mtabaki kama kaka/dada au walezi
Kama una roho ngumu, tafuta short term below standard ili uwe busy. Au invest muda wako kwenye biashara zako.
Vinginevyo, time heals.
Haituhusu
Nothing at all i have kila kitu he is just moyoni
I managed to move on with my life na mtoto wangu, so far we are doing good even without him.
Nilifikiri sitaweza ila na mshukuru mungu nimeweza na nina furaha mtoto mtamu kweli.
Sina msaada wowote toka kwake ni mimi peke yangu na mwanangu na biashara zangu zinazo niwezesha kwa kiasi fulani.
Ila kwa mambo yote aliyo nitendea all the insults mtoto alivyozaliwa, all the pain he caused me i still miss him and i think i still love him.
Nashindwa kuelewa is it a matter of time it will pass kama mengine yalivyopita au nitakua hivi milele loving him and missing him, nitaweza kweli kumsahau completely no missing him no loving him.