Why do CCM members fear alot about Zitto Zuberi Kabwe

Hili Swali mpelekee Msitafa Mkullo, anayajua vizuri majibu yake. Maana alijifanya anajua kubishana na Zitto, alishauriwa akutane naye faragha waweke mambo sawa alijifanya mbishi. Sasa anapumulia mashine, hakika weekend ya leo ataikumbuka sana Mkullo maana weekend ijayo tutakuwa tunazungumza mambo mengine
 

kilaza
 
haya mkuuu majebele sasa nimekuelewa ila wasiwasi wangu mpo tayali 2015 tumwachie nchii aongoze na ccm iwe chama cha upinzani
Itategemea na matokeo ya uchaguzi lakini kabla ya hapo je CDM wako tayari kumpa nafasi ya kuwaongoza?
 

Wanamkubali kiaina.
 

Kamasi at work
 
Mhe. Zitto anaogopwa kwasababu ndiye anayeamua hatma ya baraza la mawaziri TZ kwa hoja zake zenye tija pale bungeni. Yeye ndiye aliyesababisha baada ya EL kuachia ngazi kufanyike mabadiliko kwenye baraza la mawaziri. Kama hiyo haitoshi, ameitumia fursa nyingine kwenye bunge ililoisha hivi karibuni kuibua hoja nyingine ambayo inalazimisha mabadiliko kwenye baraza la mawaziri. Kwahiyo Mh. Zitto ni jembe halisi na siyo fake!
 
Zitto ndio aliepinga utoto wa chadema kususia bunge,alipinga nyongeza ya posho,alieshauri Cdm wakamuone Rais badala ya kususa,alielipua kashfa ya Uda,kashfa shirika hodhi la serikali,Ufisadi Kiwira,.Hajifichi kueleza Msimamo wake Chadema ikikosea anakosoa,CCM ikikosea anakosoa,marafki zake kama January akikosea anakosoa,Tatizo kuna mijitu inafikiri umoja ni kukubaliana kila kitu hata vitu visivyoingia akilini. Eti kuna watu waliaminishwa kwenye kura za kutengenezwa na Majid mjengwa eti Godbless Lema anamfunika Zitto!!!!! Labda kwenye kuhamasisha maandamano sio mchango kwenye Bunge!
 
On the contrary, the ones who are badly scared of Zitto are the clan members who runs CHADEMA.

Slaa ndio kabisa, hata sijui kama wanasalimiana maana anauogopa na kumhara Zitto ile mbaya. Josephine Mashumbusi ndio kabisa, akimuona anageuza njia. Mbowe na ukoo wa mkewe ndio usiseme, hakuna asiyejuwa wanavyomhara Zitto, nani asiyejuwa hayo?

Na siku Zitto akiamuwa sasa basi chadema, ndio siku inakufilia kwa mbali, ni yeye ndiye aliyeifikisha chadema hapa ilipo.
 
Because they know that ZITTO is (1) a photogenic; (2) a 'famemonger'; and (3) more importantly, they know that, the man-boy does not believe in what many think that he stands for. He is one of their own, a puppet.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…