Hapo Ess kuna list ndefu ya banks na microfinances,..na riba zao zimewekwa peupe kabisa ili muhusika aridhie yeye mwenyewe...
Na Riba hizo hazipo uniform...wanatofautiana.
Sasa huyo mkopaji obviously atakuwa amechagua mkopo ambao marejesho yake ni miezi 108 ambayo ni miaka 9.
Sasa na wewe hebu vaa viatu vya huyo bank, ingekuwa ni wewe binafsi mtu amechukua hela zako milioni 13 leo February 2026, Je fairly ungependa akurudishie shilingi ngapi ifikapo mwaka 2035.