Bado ile ya walimu unakatwa mpaka una staafu🙌🏾Et unakopa 13m unalipa 28m huu si wizi *****
Ni wiz wakipumbavu yan ulipa riba kuzid hela uliyokopa tuna hii niliona kwenye ESS kabsa mahesabu yanasoma 13m kukopa kulipa 28mBado ile ya waalimu unakatwa mpaka una staafu🙌🏾
Je mtu akikopa hela nyingi halafu akafukuzwa kazi au akafa?Wizi mtupu
Bwashee inategemea na aina ya loan uliyochukua na Aggreement yako na Bank for personal loan,Je mtu akikopa hela nyingi halafu akafukuzwa kazi au akafa?
Nlimekuelewa mkuuBwashee inategemea na aina ya loan uliyochukua na Aggreement yako na Bank for personal loan,
Mfano kama ni mkopo wa Gari basi gari itapigwa mnada,
Kwa aina za loan zingine kama una life insurance basi insurance watalipa,kama huna basi guarantor wako ndio atalipa,
Sheria hizi hutofautiana baina ya nchi na nchi na makubaliano yako na Bank,
Wataalamu wataongezea zaidi.
Mengine rafiki yako Seran atakuja kuongezea.Nlimekuelewa mkuu
Ila Bongo kutoboa ni ngumu Sana. Na ndiyo maana watumishi wanakuwaga mafisadi17% intetest for workers loan is injustice.
Mkopo huwa una bima, bima itawajibika kulipa mkuu.Je mtu akikopa hela nyingi halafu akafukuzwa kazi au akafa?
Sasa si bora upate hyo fursa ya kufanya ufisadi.?.wewe mwalimu upo shule ya msingi utafanya ufisadi gani??Ila Bongo kutoboa ni ngumu Sana. Na ndiyo maana watumishi wanakuwaga mafisadi
Ni kausha damu mkuu iliyojiwekea mifumo yake ya upigaji katika namna iliyojificha sana.Watu wanaiba sana ndio maana Bank kila kukicha wanatangaza faida kubwa sana kwa sababu ya kuwadhurum watu na BOT wapo kimya tu bila hata kuona taasisi inayozisimamia zinaibiwa wananchi hiyo ina tofauti na Deci sasa kama mtu anakopa 13m analipa 28m si zaidi ya kausha damu kabisa hii aisee..
Ndio maana walimu wengi hasira wanamalizia kwa wanafunzi.Sasa si bora upate hyo fursa ya kufanya ufisadi.?.wewe mwalimu upo shule ya msingi utafanya ufisadi gani??
Ndio maana kufanikiwa kwa kukopa Bank kwa wanaoanza biashara Tanzania ni ngumu sana sana na hizi Saccos zimesaidia maana mnajiwekea riba yenu ambayo haiumizi sio hao jamaa aisee ni hatari mno mno wengine wanatumia flat rate au utasikia reducing balance method ya kulipa mkopo ni hatari sana..Ni kausha damu mkuu iliyojiwekea mifumo yake ya upigaji katika namna iliyojificha sana.
Na itaendelea Kukua zaidi Kwa sababu hata Politicians wanaficha pesa zao huko Ivo wanalinda interest za Bank sanaNdio maana kufanikiwa kwa kukopa Bank kwa wanaoanza biashara Tanzania ni ngumu sana sana na hizi Saccos zimesaidia maana mnajiwekea riba yenu ambayo haiumizi sio hao jamaa aisee ni hatari mno mno wengine wanatumia flat rate au utasikia reducing balance method ya kulipa mkopo ni hatari sana..
SawaMkopo huwa una bima, bima itawajibika kulipa mkuu.