See the colored part, that is very important in life, if there is a chance be a friend to person you want and i mean friends so that you get to know his/her high and low side in really sense. from there when you choose to say i do, you know what you are getting yourself into.
Where dou get such kind of stuff men!
Nambieni ili kama ni zile za kuangalia kwenye tv nitemane nayo!
MJ1, hope yuo will help me here!
Huoni kwamba ulimpata baada tu ya kuwa ametoswa na huyo jamaa? Unadhani alikuwa na upendo wakweli na wewe, na kama ndivyo, kwanini akupende baada ya kukosa option?MWanajamii one!!
so we ended up being friends and she had a boyfriend and i had my girlfried, later in 2001 she became very close to me and some interest ikaanza kuwa wazi kwani i had to call her nikiwa na ishu ya yeye pia. alikua mji mwingine.
later wakatosana na very funny jamaa left the country na mie huku mambo yangu yakawa yanazidi ku-lean kwa huyu mamaa.
baada ya muda tukawa mji mmoja na ni yeye lisaidia mimi kupata kazi then everything ikawa ni just a click and change channel. we were friends and we are still friends.
Hili ni kweli kabisa kwani jamaa angeamua kubeba basi ningeendelea na maisha mengine bila huyu kova wangu!! Always we utilise available resources and not something we cant haveHuoni kwamba ulimpata baada tu ya kuwa ametoswa na huyo jamaa? Unadhani alikuwa na upendo wakweli na wewe, na kama ndivyo, kwanini akupende baada ya kukosa option?
Hii haikuwa sababu kwani we continued to be friends for three years without marrying each other, na wala hapakuwa hata na mimba ya kusingizia etc.-Huoni kwamba PIA ulimwoa kama hisani ya yeye kukutafutia kazi?
By the way we differ so much in the reason which got us into marrying the people we live with, SO MTU USIJISKIE OFFENDED for any reason whatsoever!
may be tungeanza na swali.......!Hey wenye jamvi, natumaini wote mu wazima!
Je unakumbuka ni sababu zipi zilikufanya uoane na mwenzi wako?
Ninaomba tujadili hili sababu kuu zilizokufanya uoane na mwenzi wako. Lengo la hii thread ni kutaka kujua zaidi juu ya sababu zile za ziada (wengi tumekuwa tukisimplify kwa sababu ya love peke yake) But ninaamini yapo mengi ambayo pengine yatasaidia hata wale ambao hawajaoa/olewa so that not to be blinded by love like it happed to some of us.
Kusema ukweli mimi nilikuwa deceived kwa yale malavidavi nlokuwa nalambishwa kiasi kwamba nilisahau kuangalia other aspects ambazo well zimenicost leo hii.
Please
_ Unadhani ni nini kilikufanya uoane na mwenzio/uamue kumuoa/ukubali kuolewa na mwenzi uliye naye?
_ Je unafikiri sababu hiyo iliyopelekea wewe kumuoa/olewa naye bado ipo hata baada ya maisha ya ndoa?
Hili ni kweli kabisa kwani jamaa angeamua kubeba basi ningeendelea na maisha mengine bila huyu kova wangu!! Always we utilise available resources and not something we cant have
Hii haikuwa sababu kwani we continued to be friends for three years without marrying each other, na wala hapakuwa hata na mimba ya kusingizia etc.
i saw the opportunity and i conquered it!! and no regrets
Wala usitie shaka its only through forums kama hizi ndio tunaweza kusaidia wadogo zetu wa-make right choices!!
Just one thing you have to take from me, kama mwanamke anakubali kuolewa na wewe kwasababu ulimsaidia ujue kwamba wewe ni mlinzi bora, the same kwa wanaume... lazima uoe mtu mwenye manufaa kwako na kwa familia yako/yenu
Mimi nilikuwa poacher, nina imani labda wengi tu tulipoach
TUNAOA KU-FULLFIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES NA SIKU ZOTE USIOE JUST FOR THE SAKE
may be tungeanza na swali.......!
WHY LOVE?
WHY DO I LOVE MY WIFE?
..........maanake out of love unaweza bahatika kufikiria ndoa!..........
may be tungeanza na swali.......!
WHY LOVE?
WHY DO I LOVE MY WIFE?
..........maanake out of love unaweza bahatika kufikiria ndoa!..........
very clever man!!! kama ni b'ness man u r saksesful....kama ni kizuri kwa nini usikipoarch
may be tungeanza na swali.......!
WHY LOVE?
WHY DO I LOVE MY WIFE?
..........maanake out of love unaweza bahatika kufikiria ndoa!..........
Thanks Bht, ila ukumbuke kwamba humo kwenye hiyo party kuna yafuatayo
mikasi ya kwenda mbeleπ
surprises mara chaaaache sanaπ
kawivu ka kufa mtuπ
Mipango ya pamoja
vibifu vidogovidogo ambavyo humalizwa na mikasi baada ya pombe kali!!ππ
Nimeupenda sana huu mjadala. Its more than a lesson. Good evening everybody here
SOMETIMES IN FEBRUARY!Personnally,I DON'T KNO WHY I LOVE MY WIFE!na kwakweli sijui ni kwanini I AM GETTING MARRIED CHURCH SO SOON!...............
Sina hata experience ya kutosha bht, kidogo niliyo nayo tutashare wakati wa get together yetu. Hope you will be there bila kukosa?karibu utupe maexpiriensi hapo....gudeve Sipo
Sina hata experience ya kutosha bht, kidogo niliyo nayo tutashare wakati wa get together yetu. Hope you will be there bila kukosa?
HA HA HA ha ah!SOMETIMES IN FEBRUARY!
certainly 13th-feb-2010
Mpwa hii ni kuonyesha msisitizo
Karibu Chako ni Chako niko na wapwa na mabinamu wa hapa
Am waiting wangungoja niku-PM
Ndio naisubiria hiyo nyama hapa kwa hamu sanaHA HA HA ha ah!
hapo chako kuna kuku-choma nzuri sana!...........niaje mazee?