Why did I get Married?

Kingine nilichokisahau kukizingatia enzi ile ni tofauti zetu za kiimani kwani niliamini love conquers all. Inawezekana wka wengine ikawork but mara nyingi after ndoa huwa inatokea mifarakano related to tofauti za kiimani. Niliamini there is nothing wrong kuoana na mtu wa imani tofauti nawe as long as mmependana- sasa ikihapen love kuchuja (kama inachujaga) utajuta! na pia inawezatumika kama kigezo cha either kuwatenganisha au kumfanya mmoja wenu abadili imani yake amfuate mwenzie hata kama mwanzoni makubaliano hayakuwa haya.
 

Thats my girl! Thats so sweet of you! You are the only binamu aliyeolewa na aliyem-bikiri! Good girl! LOL!
 

mhhh Carmel hiki ki blurey kikali.enhee hebu tuambie ,wakati mko close friend kulikuwa hakuna ma feelings yoyote kweli ya malavidavi? how long did you stay as normal friends?
 
tutaonana kesho ngoja nikapike why did i get married
 
mhhh Carmel hiki ki blurey kikali.enhee hebu tuambie ,wakati mko close friend kulikuwa hakuna ma feelings yoyote kweli ya malavidavi? how long did you stay as normal friends?

He! Hii thread leo itazua mengi. Ngoja niwahi zero pub. C ya 2moro guys. Naona kama bia zinaisha! LOL!
 
Tuweke wazi hapa kidogo,suala la dini ni pana sana.Unaongelea madhehebu mfano mkatoliki na mlutheri au mkristo na muislamu? sioni taizo kama mimi ni mTAG nikiolewa na mkatoliki.
 
ha ha ha huyo ni mpwa wangu!! asee 40 alafu baadae watoto waanze kukuita babu??
 
Tuweke wazi hapa kidogo,suala la dini ni pana sana.Unaongelea madhehebu mfano mkatoliki na mlutheri au mkristo na muislamu? sioni taizo kama mimi ni mTAG nikiolewa na mkatoliki.


Noted with Many thanks! Mi ni Mkatoliki Safi kabisa!
 
Nilikuwa library udsm
kwa mbali akaje demu
ambaye sikumfahamu,
Nikapatwa na hamu,

Nikamuuliza waitwa nani?
akatabasamu akaniuliza kwanini?
Ndio kwanza natia timu mjini,
Tokea Moshi na tena sio mjini,

Kitabu ....kinapatika wapi?
kwa upole akasema cha mkwapi?
Nikasema haswaa,

basi tukaendela kukutana,
hata kwenye midahalo na kutaniana,
taratiibu tukaakanza kupendana,
mapenzi yakazidi na yakazidi na yakazidiana,

Shahidi yangu ni Carmel
hata kusoma nikawa siwezi.
Mungu akajalia tukamaliza shule,nikamtambulisha
home na leo na simama hapa proudly na kusema
nashukuru Mungu kwa mke ulenipa,Kila siku
ni raha, nikitoka kazini namwimbia kidogo tunacheza,
tunataniana na mambo ya kazini tunayaacha mlangoni.
I love u so much my dear wife hope ur reading this.
 
Hongera sana shem,so experience ya kwako naona ilikuwa By nature! Endelea kuwa mbunifu pia lakini
 


Sounds familiar mhhh!!
 
ha ha ha huyo ni mpwa wangu!! asee 40 alafu baadae watoto waanze kukuita babu??

Ndio maisha kaka yangu,sometimes inabidi usubiri ili upate chema,sio ukimbilie na ujute maisha yako yote au yakushinde.
 

Kwa hili, sisiti kusimama hapa bila kuficha na kusema these guys really love each other! Keep it up Shemeji, i know you are a good hubby!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…